Msukumamimi
New Member
- Nov 6, 2017
- 3
- 2
Kwahiyo Mshape ndo umekuzuzua, 20yrs ni mama yako huyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OhhKuja tu kuomba ushauri ni kosa, vitu kama hivyo ni either upige kimykimya asijue mtu au ukaushe na ujikatae kama una conscious guilty, mbona wa bidada wapo wengi why wa bi mama wenye umri sawa na mzazi wako hata kama anakutaka yeye haihalalishi
Si afadhali utake kuku...je ukija kama yule jini wa Pemba!?Mzimu wa mumewe ukija kuanza kutaka kuku mweusi usisahau kutupa mrejesho!
Atakuwa yule aliyekufa kwa HAT ATAKUnajua mumeww kilichomuua we jiichanganye tu
Wakuu,
Mita mia mbili na hamsini hivi.
Anaishi mjane mmoja katika mazungumzo yetu kaniacha kama 20 years hivi.
Ila ni wale kina mama wanazeeka na uzuri wao.
She is older ila mrembo haswa.
Sass kanonesha interest na huwa nikipita pale kijiweni kwake dalili zipo wazi.
Mtu kama huyu namfanyanje maana kwa kumheshimu naona anaanza kunikashifu maana mara ya mwisho kwa masikio yangu nimemsikia akisema aah huyu mbona hanielewi huyu sijui yukoje.
Sio kwamba simuelewi ila tatizo ni kwamba namheshimu sana kwa age difference.
Ni kitu gani hiki ulichoandika?kila ukimpiga pipe atakunyonya mpaka utelezi wa kwenye joint zote
Isije kuwa HAT TRICKAtakuwa yule aliyekufa kwa HAT ATAK
Wazee weka mbali na wanoko.Isije kuwa HAT TRICK
Popo bawa..🤣Si afadhali utake kuku...je ukija kama yule jini wa Pemba!?