Mjane ananipenda sana

Mjane ananipenda sana

Kuja tu kuomba ushauri ni kosa, vitu kama hivyo ni either upige kimykimya asijue mtu au ukaushe na ujikatae kama una conscious guilty, mbona wa bidada wapo wengi why wa bi mama wenye umri sawa na mzazi wako hata kama anakutaka yeye haihalalishi
Ohh
 
Unajua mumeww kilichomuua we jiichanganye tu
 
Wakuu,

Mita mia mbili na hamsini hivi.

Anaishi mjane mmoja katika mazungumzo yetu kaniacha kama 20 years hivi.

Ila ni wale kina mama wanazeeka na uzuri wao.

She is older ila mrembo haswa.

Sass kanonesha interest na huwa nikipita pale kijiweni kwake dalili zipo wazi.

Mtu kama huyu namfanyanje maana kwa kumheshimu naona anaanza kunikashifu maana mara ya mwisho kwa masikio yangu nimemsikia akisema aah huyu mbona hanielewi huyu sijui yukoje.

Sio kwamba simuelewi ila tatizo ni kwamba namheshimu sana kwa age difference.

Umeshaoa wewe au bado?
 
Dini gani wewe, umeoa ama lah!! Moja ya sababu kuoa wajane ni kuwafariji, kama inawezekana chukua ngoma hiyo, umri hauna nafasi kwenye malavidavi, almuhimu kuheshimiana, kusikilizana na kuthaminiana. Vikiwepo hivi baina ya me na ke, kwisha kazi.. Limbwata haioni ndani.
 
612324bcd644c2aefe795c50acb803444c5788c3ab43b8cdcf22e9b8856756c8.0.gif
 
Back
Top Bottom