Mjane wa aliyekuwa Jaji wa Zanzibar, Marehemu Mkusa Isack Sepetu anatafutwa baada ya kuharibu nyumba ya shirika la nyumba Zanzibar

Mjane wa aliyekuwa Jaji wa Zanzibar, Marehemu Mkusa Isack Sepetu anatafutwa baada ya kuharibu nyumba ya shirika la nyumba Zanzibar

Aliyetaka nyumba alifikiri ataachiwa ilivyo, watengeneze si waliikuta tupu pia. Hapo wasafishe tu habari kwisha
 
Huyo kurudia rudia kitaja tiles, ni kama kaumia na aliziweka yeye😀.wamefanya vyema hakuna vya dezo, tamaa ya aliyepataka akapatengeneze. Inaelekeakipindi cha msiba ndio wahusika waliitolea macho hiyo nyumba.
 
Naam, kama hauna nyumba, basi weka $. Ukiondoka, $ inanunua nyumba chapuchapu. Mfanyakazi wa seikali akifariki, nafasi yake inachukuliwa na mwingine. Na huyo mwingine anahitaji nyumba ya serikali. Inaumiza kwa walioachwa lakini ndio utaratibu huo.
Ni kweli kabisa ziko nyumba hata za NHC au ZHC hupangishwa wafanyakazi wa serikali hivyo akifa lazima apishe sababu haipangishwi tu na shirika bali huwa mahsusi kuwapangishia wafanyakazi wa serikali wanapewa kipaumbele mfano karibuni tu nakumbuka zilikabidhiwa nyumba dodoma za NHC ili zipangishwe kwa wafanyakazi wa serikali sasa mtu akiacha kazi serikalimi akisataafu au kufa hawezi komaa kuwa aendelee kuishi hapo mkataba ukiisha hata kama alipangishwa na NHC au ZHC kwa jina lake binafsi lazima afunge virago sababu hizo nyumba sio za general public ni za wafanyakazi
 
Vya bure ni ghali.mpaka wanazeeka hawajakumbuka kujenga vya kwao.
 
Huyo kurudia rudia kitaja tiles, ni kama kaumia na aliziweka yeye😀.wamefanya vyema hakuna vya dezo, tamaa ya aliyepataka akapatengeneze. Inaelekeakipindi cha msiba ndio wahusika waliitolea macho hiyo nyumba.
Hata hiyo renovation anaweza akashangaa akakuta wala sio mumewe alifanya.ILa kuna fungu la ama ofisi ya jaji ambalo alipewa kama posho ya house maintanance ya jaji ili aiweke nyumba yake iwe hadhi ya ki jaji sababu majaji waweza pewa hadi funiture ukikaa vibaya waweza sema ohh zetu kumbe za ofisi hadi kitanda unacholala!!

Ila yeye akajua ni mumewe anafanya!!!
 
Hongera sana serikali kwa kufanya maamuzi hayo,huyo mke nae hana akili hata kidogo,umepanga nyumba huna kaz una watoto hufikirii kama kesho itakuwaje ukifukuzwa kwenye nyumba?

Usiombe ujifunze maisha kutokana na makosa yako,bora ujifunze kutokana na makosa ya wengine. Wanajisahau sana iyo garama waliyotumia kupamba bora wangejenga hata room 3 kwa nyumba yao.
 
Nimeamini Wazanzbiri wana uadilifu uliokithiri karibia na uzembe.Miaka yote aliyoishi as a judge alishindwa kujenga?
Dili moja tu angeishi kwenye ghorofa lake moja.Huu ni uzembe.
 
Big up mama,tunahitaji Wajane Kama hawa kwa wingi zaidi..

Binafsi sioni kosa lolote alilofanya Huyu mama..

Nyumba za michenzani haziwi na floor ya tyles Wala roof ya gypsum board..

Huyu dada kachukua chake,kawarejeshea nyumba Yao sasa tatizo liko wapi???!

Mama usijifiche nenda kawakabili hao wanafiki,tafuta wakili nenda nao mahakamini..

Huyu mchukua video,anasema ati,unaona tyles zilivyovunjwa hivyo sijui unaona Dari hilo....bla,bla,bla

Kama hujui hivyo mpangaji anavyokabidhiwa nyumba na shirika la nyumba Zanzibar
 
Inamaana yeye hakujua kama hyo nyumba ni ya serikali, alipe tu gharama za uharibifu.
 
Aliyekuwa makamu wa Raisi awamu ya Mkapa (Omar Ali Juma), baada ya kufariki familia yake ilitolewa kwenye nyumba Oysterbay.

Serikali hailei wajane, inawahifadhi watumishi wake tuu. Utumishi ukiisha huduma zinakatwa in exception to President, Jaji mkuu na Spika.

Correct me where erroneously stated.
Sasa kama ni hivyo kwanini kuna jitu linakera linauza nyumba za serikali na kugawa zingine kwa hawara kama njugu?
 
Hata hiyo renovation anaweza akashangaa akakuta wala sio mumewe alifanya.ILa kuna fungu la ama ofisi ya jaji ambalo alipewa kama posho ya house maintanance ya jaji ili aiweke nyumba yake iwe hadhi ya ki jaji sababu majaji waweza pewa hadi funiture ukikaa vibaya waweza sema ohh zetu kumbe za ofisi hadi kitanda unacholala!!

Ila yeye akajua ni mumewe anafanya!!!

Ile nyumba inavyoonekana kwenye kideo ilikuwa zaidi ya kutumia pesa za serikali, lazima walitumia pesa zao nyingi.
 
Back
Top Bottom