silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,278
- 1,794
- Thread starter
- #81
Sasa mb 16 huko halotel ndo issue kubwa. Njoo Zantel Mb 3200 kwa wiki kwa TSH ELFU 3 TUHalotel mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mb 16 huko halotel ndo issue kubwa. Njoo Zantel Mb 3200 kwa wiki kwa TSH ELFU 3 TUHalotel mkuu
Ni kweli kabisa ziko nyumba hata za NHC au ZHC hupangishwa wafanyakazi wa serikali hivyo akifa lazima apishe sababu haipangishwi tu na shirika bali huwa mahsusi kuwapangishia wafanyakazi wa serikali wanapewa kipaumbele mfano karibuni tu nakumbuka zilikabidhiwa nyumba dodoma za NHC ili zipangishwe kwa wafanyakazi wa serikali sasa mtu akiacha kazi serikalimi akisataafu au kufa hawezi komaa kuwa aendelee kuishi hapo mkataba ukiisha hata kama alipangishwa na NHC au ZHC kwa jina lake binafsi lazima afunge virago sababu hizo nyumba sio za general public ni za wafanyakaziNaam, kama hauna nyumba, basi weka $. Ukiondoka, $ inanunua nyumba chapuchapu. Mfanyakazi wa seikali akifariki, nafasi yake inachukuliwa na mwingine. Na huyo mwingine anahitaji nyumba ya serikali. Inaumiza kwa walioachwa lakini ndio utaratibu huo.
Hata hiyo renovation anaweza akashangaa akakuta wala sio mumewe alifanya.ILa kuna fungu la ama ofisi ya jaji ambalo alipewa kama posho ya house maintanance ya jaji ili aiweke nyumba yake iwe hadhi ya ki jaji sababu majaji waweza pewa hadi funiture ukikaa vibaya waweza sema ohh zetu kumbe za ofisi hadi kitanda unacholala!!Huyo kurudia rudia kitaja tiles, ni kama kaumia na aliziweka yeye😀.wamefanya vyema hakuna vya dezo, tamaa ya aliyepataka akapatengeneze. Inaelekeakipindi cha msiba ndio wahusika waliitolea macho hiyo nyumba.
Hilo toto ni hasara kubwa kwa familia kwa upande wa kitaifa hilo toto ni janga la kitaifaNimeshangaa toto kubwa linaliaa lia
Mkuu embu weka menu za vifurushi vyake na vya mwezi mkuu... Sema sina kitambulisho cha kujisajilia aiseeSasa mb 16 huko halotel ndo issue kubwa. Njoo Zantel Mb 3200 kwa wiki kwa TSH ELFU 3 TU
😂😂Hilo toto ni hasara kubwa kwa familia kwa upande wa kitaifa hilo toto ni janga la kitaifa
Sasa kama ni hivyo kwanini kuna jitu linakera linauza nyumba za serikali na kugawa zingine kwa hawara kama njugu?Aliyekuwa makamu wa Raisi awamu ya Mkapa (Omar Ali Juma), baada ya kufariki familia yake ilitolewa kwenye nyumba Oysterbay.
Serikali hailei wajane, inawahifadhi watumishi wake tuu. Utumishi ukiisha huduma zinakatwa in exception to President, Jaji mkuu na Spika.
Correct me where erroneously stated.
Hata hiyo renovation anaweza akashangaa akakuta wala sio mumewe alifanya.ILa kuna fungu la ama ofisi ya jaji ambalo alipewa kama posho ya house maintanance ya jaji ili aiweke nyumba yake iwe hadhi ya ki jaji sababu majaji waweza pewa hadi funiture ukikaa vibaya waweza sema ohh zetu kumbe za ofisi hadi kitanda unacholala!!
Ila yeye akajua ni mumewe anafanya!!!