Tunaoa uzeeni sababu ya kutafuta matunzo, kuna baadhi ya mambo watoto hata kama wanakupenda vipi hawawezi kuyafanya...kwa mfano mwanao wa kike kukuogesha, kukuvalisha nguo nkKuoa uzeeni ni kuleta migogoro kwenye familia
Cheki picha za Moshi Kilimanjaro weweeeNdio kazi ya Kubenea siku zote. Ni binhwa Sana kwenye kudraft UDAKU hasa kwenye SIASA
Nani kapiga picha na kukutumia??Cheki picha za Moshi Kilimanjaro weweeeView attachment 2338170View attachment 2338171
Unaoita udaku wa mke wa mrema unaakisi jamii,Kuna kesi nyingi za nanna hiyo,Kama jamii tunaliepukaje kwa kuweka Sheria ya haki na rahisiRaia Mwema limekuwa Gazeti la Udaku? Mbona Kuna Mambo Mengi Muhimu sana ya Kuandika, na Sio Udaku wa Mke wa Mrema???
Sasa muwe mnasolve ishu za wosia mapema kabla ya kufatunaoa uzeeni sababu ya kutafuta matunzo, kuna baadhi ya mambo watoto hata kama wanakupenda vipi hawawezi kuyafanya...kwa mfano mwanao wa kike kukuogesha, kukuvalisha nguo nk
Lakini pic kali inakusaidia vyote na unakufa huku ukitabasamu... cha muhimu tu uwe na cha kumwachia ukishasepa.
Mbona hawajui kulima!!Cheki picha za Moshi Kilimanjaro weweeeView attachment 2338170View attachment 2338171
Tatizo mmekaa kimaslahi sanawajane na watoto wetu wanapitia wakati mgumu sana
Sasa mkuu unaweza vipi kumzuia dingi yako kuoa?Wanazuwia mali za mjane lakini hawaja mzuwia Mrema kuoa wakati wa uhai wake. Ama kweli tukifa wajane na watoto wetu wanapitia wakati mgumu sana.
Mali walichuma pamoja?Sheria itachukua mkondo wake maana walifunga ndoa halali.
Hicho kigezo ni kwenye talaka na sio mazingira haya ya mwenza kufariki.Mali walichuma pamoja?
Endelea kukaririHicho kigezo ni kwenye talaka na sio mazingira haya ya mwenza kufariki.
Wewe tunakufaham humu mdini, mkanda na mkabilaMbona hawajui kulima!!
Mahakama hata kama mlioana bila ndoa na mkaishi angalau miaka 3 inamtambua mke kuwa ni mke halali, na linapotokea suala lolote iwe mirathi au Talaka anakuwa na haki ya mgao wa mali!Upo sahihi lakini inategemea na aina ya ndoa iliyofungwa. Kama ni customary marriage hawezi kurithi.
Pia sheria ya mirathi inaangalia wanandoa waliishi maisha gani kipindi cha uhai wake/wao. Mfano kama waliishi kimila mali itagawanywa kulingana na sheria za mila.
Vivyo hivyo kama waliishi katika imani za dini mfano kiislamu basi itatumika Islamic law kwenye suala la mirathi.
Yes, maamuzi yako yanaweza kupingwa iwapo yanakiuka haki na sheria! Lakini haki ya mtu kufanya maamuzi yoyote haiangalii umri ispokuwa maamuzi yasikiuke haki na mfano.Ukifika miaka 70, kisheria kuna baadhi ya maamuzi yako yanaweza kupingwa mahakamani either ukiwa bado hai ama mfu sababu kuu ni kwamba afya ya akili inakuwa ishaanza kuzorota katika umri huo.
π³π³π³Kwani kwenye cheti cha ndoa waliandika lazima kuzaa mkuu?ππππ
bi mkubwa anataka nyumba na Prodo la Mzee !! yaho mengine ya kwenu.Mimi nadhani sheria zibadilike ili kuangalia ''hali halisi''. Nakwazika kukubali mwanbiamke anayeolewa na mtu mgonjwa na mzee kama alivyokuwa Mrema, na wakaishi kwa muda mfupi kabisa na hana mtoto yeyote eti anastahili kurithi mali ya marehemu.