Mje mnishauri kuhusu kuweka picha ya mpenzi wangu homescreen ya simu yangu

Una miaka mingapi??

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Kalipe mahari kwao umuoe, bila hivyo utabaki na picha kwenye lockscreen kila uki unlock simu unalia, ni ushauri tu mwanazengo.....
 
Kalipe mahari kwao umuoe, bila hivyo utabaki na picha kwenye lockscreen kila uki unlock simu unalia, ni ushauri tu mwanazengo.....
Ushauri Mzuri Sana Huu, Lakini

Kipato Changu Bado Ni Papatu Papatu. Sina Maisha Bado sitaweza kumudu familia, lakini Napambana.
 
Mkuu inaonekana kwa uandishi wako huo bado una mihemko ya balekhe!

Ulishasikia wapi mwanamke mmoja akawa ni "mkali" machoni kwa kila mwanaume?

Kila mwanaume ana "mkali" wake machoni pake bhana.

Halafu haujafunguka sawasawa, huyo binti alishakukubalia kuwa wapenzi na mwishowe mje kufunga ndoa?

Tusianze kukomaza mafuvu kushauri mahusiano ya pen pals ama ya kuhusudu mapicha picha ya mapambio ya kuuzia magazeti ya udaku.
 
Huyu Binti Tayari Amekubali Tufunge Ndoa Ila Sina Mpunga Papatu Papatu. Amesema ananiskilizia. πŸ₯±πŸ₯±πŸ₯±
 
Acha uboya wewe, wanaume wanaojielewa huwa hawaweki hata siku moja picha za demu kwenye homescreen za simu zao wala profile pics za account zao kwenye social media
 
Acha uboya wewe, wanaume wanaojielewa huwa hawaweki hata siku moja picha za demu kwenye homescreen za simu zao wala profile pics za account zao kwenye social media
Poa Mkuu, ntalifakari maana nlikua nataka kumweka na WhatsApp DP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…