Mjengo mpya wa Nandy na Bilinass


Kifuatacho ITV.......

SANAA NA WASANII.
 
Hawa wanatakiwa kuishi wote maana wamepitia mengi watoto wao wakiuliza wapate majibu kwao.
Kwanza wana video ya utupu na lile li kyupi la nandy liko mtandaoni na wajukuu watalikuta.
Na kile kijiumbea kwamba.......
Ndege wafananao uruka pamoja wacha waishi wote waliwazane.
 
Kile kijiumbea nilistuka lakn mbka leo siamini, mnyetshaj nae mpana akanionesha na evdence mana somehow analjuaπŸ§‘β€πŸ¦―β€βž‘οΈ
 
Kila binadamu ana yake kwenye closet. It’s normal.
 
Umesahau nandy festival ila bhana yote kwa yote hii ni siri ya mtu kuna alot of going on kwenye hiz mambo basi tu kila mtu ana siri yake.
 
Umesahau nandy festival ila bhana yote kwa yote hii ni siri ya mtu kuna alot of going on kwenye hiz mambo basi tu kila mtu ana siri yake.
Mzee hiv unafanya mchezo na hata 1b tu??? Yam M ziwe Buku mzee kwa kaz ya muzi au hivyo vi festival uchwara unadhan vinaingiza mpunga mrefu level hiyo??
 
Sawa shida source income nayo ya wasanii wetu inachangamoto kwa bizness zao yeye na mme wake billnass it worth manake nandy mwenyewe anaendesha LC3000
Akili yako imejaa maji ya pwani kama ID yako.... yani unapima utajiri wa mtu kwa aina ya gari?
Wengine gari ni chombo cha usafiri tu, wananunua gari nzuri baada ya nyumba yenye hadhi na wengine kwao gari nzuri ni sehemu ya maisha bora akae nyumba ya kawaida ila apush pira la maana
 

Wasanii wa siku hizi wanapata sana hela.

Instagram, youtube, na digital platforms zingine za kuuza mziki zimewaletea sana hela.

Endorsement pia wanazipata sana
 
Ona hii kenge.... 3B unaijua wewe????
Mantainance yes it's costy lakini sio kama unavyotaka kudanganya watu hapa

Uliza professionals wa hiyo industry ndo uje hapa na andiko lenye mbwembwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…