Mji wa Goma huko DRC ni Mzuri kuliko Majiji yote Tanzania ukiondoa Dar es Salaam. Tanzania tunakwama wapi?

Aiswe kwa huo mwonekano ukiondoa Posta hata Dar haigusi ndani
 
Cha ajabu unakuta Kuna wazee wanajisifia kuwa wao walifanya mtihani migumu ya NECTA au utaisikia la saba ya kwao ni chuo kikuu ya Sasa Cha ajabu wamekalia ofisi na hakuna wanachofanya
 
Mwanza pazuri kushinda goma
 
Labda ndio maana wao wameita Goma si tukaita Kigoma.
 
Huo mlima hapo background Nyiragongo ni active volcanic mountain wakati wowote unatema lava na mitetemeko hapo ni kila mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…