Mji wa Goma (mashariki mwa DRC) watanda giza

Ilitakiwa kufukuza majeshi ya UN yote harafu AU ndio walete Jeshi kuwaska hao vibaraka kina M23 na pia ufanyike Mpango kumuondoa madarakani Kagame hata Kwa kumuua.

Maana ameshawashika Hadi Mozambique Kwa Sasa.
Na hiyo ndo projection kwa sasa naona hapa Goma hizi operation UN wapo kimaslahi sio kulinda raia ....kipigo watakacho pata waasi HAKITAKUWA NA UKOMO
 
Congon Ina watu 180m inashindwaje na rwanda wapuuzii
Alokwambia vita ni idadi ya watu ni nani mkuu! Achana na vita,kama unajua mme anafukuzwa kwake na nyumba kajenga yeye, hujiulizi kwenye siasa, jeshi na diplomasia kuna nini?
 
Wamarekani ni Wapumbavu sana...
America wako na Kagame..
Wao ndo wanawawezesha hao M23..
Ni ujinga viongozi Wa Africa kukubali huu uhayawani...
Sio kweli hakuna Amerika iliyo na Kagame na historia ya M23 tunaifahamu vizuri sana toka ilivyo anzishwa na Kagame.

Tatizo la waafrika siku zote ni kutafuta visingizio kwa madhaifu yao ambayo ndio chanzo cha wao kuwa kichekesho cha dunia na siku Afrika watakapogundua kwamba chanzo cha matatizo yao ni wao wenyewe hawatabaki tena hapa walipo.
 
Sina shida ya kufuatiliA mafail...

Ila... Hiyo Rwanda inafadhiliwa na US.
 
Awamu hii wamedhamiria.

Hivi Machi 23,2009 Laurent Kabila alikubalina nini na Hawa Waasi wa Kutokea Rwanda?
 
Sasa vijana wetu wachache wa jwtz ambao wapo hapo goma tunawasaidiaje jamani hatutaki watoto yatima kwa sababu za vita ya congo..
Wangerudi tu jamani.
 
Wamarekani ni Wapumbavu sana...
America wako na Kagame..
Wao ndo wanawawezesha hao M23..
Ni ujinga viongozi Wa Africa kukubali huu uhayawani...
Na DRC nyuma yao wapo wafaransa na wabeligiji shida inakuja hapo.....kila mtu ana watu wake nyuma yake
 
Yah hapa Kumekucha JW imesha kita .....kwanzia kesho majibu
Hamna kitu JW mtafanya ni kucheza sindimba tu kupotezeana muda.
Popote ambapo jeshi la kigeni hutoa msaada inabidi jeshi la wenyeji liwe na nia na moyo wa kupambana. Hao FARDC ni viazi watupu, sasa JW mtapigana mkiwa na nani?

Kwa wanajeshi wachache wa JW hamna kitu watafanya huku FARDC wanajeshi wake wanakimbia mapigano, kupora mali na kubaka wanawake. Hiyo Congo ni uvivu wake tu, kwamba inashindwa raise vikosi vya wanajeshi hata 20,000 kuanzisha operation ya kutokomeza M23?
 
Wako 80 mln.Iran na Waarabu wote wananyanyaswaje na Israeli ambao ni wachache?
Tena bora hata Israel.....DRC ni nchi moja ila ndani yake ina watu wenye misimamo tofauti na kuna maeneo watu tokea wazaliwe wanajua vikundi vya waasi ndo serikali yenyewe........DRC kwa mashariki ni kama hakuna serikali kabisa bali tu ni makundi yanaji organise yanatawala eneo fulani
 
Dark continent
 
Yah hapa Kumekucha JW imesha kita .....kwanzia kesho majibu
JW hapo kama mgeni mualikwa tu hana nguvu kiasi hiko shida ni serikali ya DRC yenyewe kujielewa ....maana anataka kucheza kete za kusaidiwa na nchi jirani huku pia anataka kuendelea na matajiri wake wa ufaransa na ubelgiji.......kule kuna conflict of interest kikubwa jamaa wakishtuka bora wajitoe tu maana kushinda kule ni ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…