Watu wa hardware wanapiga sana pesa kwenye hii biashara na ukipasua mbao yake unailipa..!!!Leo nimeenda kukodisha mbao. Yule jamaa nimemuachia 30,000/- kwa mbao 20! Jamaa ana mbao nyingi tu Kwa ajili ya kukodisha. Nimefikiria unaweza kuanza hii biashara hata Kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest. Imagine huyu mtu akipata wateja wawili tu kama mimi anatengeneza 60,000/- haina kodi wala nini maanake mbao ziko uwani kwake. Vijana amkeni fursa zipo zinasubiri uthubutu.
Duh
Mbao za kukodi
unazitumia kufanya nini
Umeongea kama unamwaga maji mkuu
Ila wabongo sijui kwann tunapenda kuwaona wengine wavivu
Uvivu umetoka wapi tena?
Mtoa mada imekuchukua miaka mingapi hadi ukafikia hatua ya kwenda kukodi hizo mbao?
Huu uzi na kilichojibiwa ni vitu viwili tofautiMiaka 70
Duh
Katika fani uliyonayo au biashara unayofanya au mazingira unayoishi siyo kila mtu ana experience nayo unapokuwa unawaelekeza watu jambo elekeza kama hakuna mwenye idea zaidi yako wenye kujua watachangia zaidi na wasiojua watakuwa wamejifunza
Hujaelezea vizuri mfano mbao zinatumika kwenye ujenzi na shughuli nyingine za useremala labda nikikodi mbao si inabidi nizirudishe kwa mwenyewe sasa kazi ambayo naenda kuifanya na hizi mbao ni ipi ikiwa natakiwa kurudisha kwa sababu nimekodi tu sijanunua
Me napataje hela na huyu aliyenikodishia anapataje hela
Mara nyingine ukiona kitabu hukielewi hujaandikiwa wewe.Duh
Katika fani uliyonayo au biashara unayofanya au mazingira unayoishi siyo kila mtu ana experience nayo unapokuwa unawaelekeza watu jambo elekeza kama hakuna mwenye idea zaidi yako wenye kujua watachangia zaidi na wasiojua watakuwa wamejifunza
Hujaelezea vizuri mfano mbao zinatumika kwenye ujenzi na shughuli nyingine za useremala labda nikikodi mbao si inabidi nizirudishe kwa mwenyewe sasa kazi ambayo naenda kuifanya na hizi mbao ni ipi ikiwa natakiwa kurudisha kwa sababu nimekodi tu sijanunua
Me napataje hela na huyu aliyenikodishia anapataje hela
Mtoa mada 40+ age So imemchukua miaka 40+ yeye kukodi mbao.Mtoa mada imekuchukua miaka mingapi hadi ukafikia hatua ya kwenda kukodi hizo mbao?
Mstari wa mwishoMara nyingine ukiona kitabu hukielewi hujaandikiwa wewe.
Dawasco wakikugundua watakuacha salama?? Mana dzain kama unawakimbizia wateja hvNa kuna wale ana kisima halafu anaunganisha watu maji na mabomba..
Kila mwezi mnalimpa ..nyumba 5 mnampa karibu 100k ..
Hizi ndo pesa Inaingia huku umelala