Mjini Mipango: Unaweza kuanza hii biashara hata kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest

Mkuu ongeza nyama kidogo.
Ni hivi kuna hatua ya ujenzi(beam ya zege) inahitaji mbao ili kutengeneza shape ya hio beam sasa mbao hizi unaweza kujikuta unatumia hata 200,000 kununua na ukimaliza kazi hii hutazihitaji sasa badala ya kununua unazikodi kwa hela ndogo kama 30,000 tu. Inapunguza gharama za ujenzi.
 
Huenda na wengine hawajui hata beam ni nn..ungeeleza zaidi pia🙂
 
sasa zikivunjika km 6 hivi au cement iking'ang'ania huoni ni bora ungenunua zako, maana ni lazima tena utakaa nazo miezi 6 mpaka ghorofa hilo likauke la sivyo Mhandisi hatakubali
na 30,000 ni kwa siku moja au mpaka umalize ujenzi
 
Unapima risk wewe mwenyewe. Kwangu ni nafuu kukodi. Kuvunjika sio rahisi sema fundi azikate na mara nyingi mafundi wanajua masharti ya mbao za kukodi.
 
Hii biashara ya mbao ngumu sana, utaishia kugombana na wateja kila siku, mafundi hukata mbao na kumwachia mwenye saiti msala.
Pili mbao huchakaa mapema usipokuwa makini huwezi kurudisha mtaji
Kumbe hakutuwekea SandFire
 
Back
Top Bottom