Mjini Mipango: Unaweza kuanza hii biashara hata kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest

Mimi naishi na neno moja tu..kila kitu kinawezekana ukitia NIA!... na ukikaa n watu aina hizo hupigi hatua....full kukatishana tamaa
 
Kwa dar sauna itakula kwangu..wanahisig joto la dar ni sauna tosha.hahaha
 
Nendeni Mwenge Jose Salon mkaone watu wanavyopiga pesa ndefu kwa vitu ambavyo watu wanavidharau. Ukisimulia humu utaambiaa motivational speaker!
Kule mtaa wa nyuma..niliwai kwenda ichukua pisi kali pale nikastaajabu.wanawake buana..unakuta katoka bunju anaenda pale kurembwa
 
Na hapo umeajiriwa? Basi una usimamizi mzuri sana...hongera! Mie pia ni muumini wa kuwa na side huslte aisee..! Ila 10 dah[emoji119]
Yes..na ni magoli ya mitaj midogo midogo
1-4m...lengo langu ilikua ikifika 2022 yawe 30....ila sasa shugul yake si mchezo kutimiza hlo lengo..kwanza hapa juz tu kwenye goli moja nmekuta wameiba iba vtu wezi..wamevunja kufuli..ila ndo hvyo sikos mia mbil mbili
 
Hizi theory za kwenye makaratasi tu bhana weye.....
 
Mimi naishi na neno moja tu..kila kitu kinawezekana ukitia NIA!... na ukikaa n watu aina hizo hupigi hatua....full kukatishana tamaa
Kuna sku1 nilikua namskiliza nay wamitego..alikua anasema...mim stegemei tena mzik...mim nna bodaboda 20...nna vibanda vya tigo pesa 10..nkasema heee...
Akasema yeye ananunua pikipik used zile kwa lak8..halaf anampa kijana mkataba..huko kwenye vibanda vya tigopesa ndo anasema yye ni watu wa mwanzo mwanzo sana kuwa na vibanda hvyo so kapiga sana hela huko..na hyo ni miaka kama mi5 iliyopita. nkasema...yaaan hawa jaamaa hata form 6 hawajagusa ila wanafanya vtu vikubwa ..hata sheta yule dogo ..mjanja sanaaa..ana magoli meeng yule dogo .ndomana ana jeur ya kutembelea gar nzur nzur...na kipind hiko hapo bank nna hela flan nying halaf sjui cha kufanyia.naogopa kufanya makosa nkala hasara kama nilizokula zaman...ikabid nianze kuingia mitaan aisee kuangalia wengne wanafanyaje fanyaje
 
Unakodisha mara moja zikirudi nyingi ni vipandevipande, inahasara nyingi tu
 
Na bado fine yake mbao ukiikata au kuvunja unarudisha mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…