RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #221
Motivational speaker....huyu mtu anaongea na kuhamasisha watu kuwa vitu vinawezekana,you can do anything,you can be who you want to be. Sasa kuna ubaya gani kuwa motivational speaker? Jamii yetu imejaa negativity chochote ukisema mtu anatafuta flaws ndio roho yake inaridhika!Na mjuajiš