Mjini Mipango: Unaweza kuanza hii biashara hata kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest

Ha ha ha...uko serious?
[/QUO
NSeri

Enhe, niligundua wadada wengi wauswaz wanavaa wigi Sana lakini zile ambazo ni cheap Sana na hazina quality, nikaanza na mawig 5 zile lace wig za kuanzia laki na nusu, nikaziweka saluni, kukodi 10000.

Kwa Sasa namawig 20, biashara sio mbaya ukizingatia saloon ipo uswazi kwa wanaopenda vigodoro silali njaa.
 
Whaaaat...nmekubali...
Ila wanawake noma jaman...anakod wigi anaenda nyanduliwa nalo..wanashikana shikana...anarudisha anachkua mwingne..

Na vile huwa hamvui mawig mkinyanduliwa sabab hamtak onyesha vipilipili...hiiiiiiii

Ila nmeikubal idea hyo ..goli langu lingne natarajia kufungua salon ya kike...kuna mchepuko wangu wa zaman..miaka kamaa mi 4 hiv iliyopita anaish maisha ya tabu sana nataka nimweke hapo apate miambil miambil.. namim anipe chochote kitu...nikiweka na hayo mawig nadhan ita make sense....heb nipe ushaur nin cha kuzingatia katika biashara hyo ya salon ya wanawake..naona skuhiz manicure na pedicure znakua znaongezewa ndan humo pia. .nmependa hyo idea aisee..ndomana nmeandika snaa
 
Duh kweli mjini Mipango
 
Watu wa hardware wanapiga sana pesa kwenye hii biashara na ukipasua mbao yake unailipa..!!!
Tena unalipa mbao mpya kabisa, si mbao tuu wametengeneza formwork pia za nguzo, wanapiga hela ingawa si kila siku
 
Whaaaat...nmekubali...
Ila wanawake noma jaman...anakod wigi anaenda nyanduliwa nalo..wanashikana shikana...anarudisha anachkua mwingne..

Na vile huwa hamvui mawig mkinyanduliwa sabab hamtak onyesha vipilipili...hiiiiiiii

Ila nmeikubal idea hyo ..goli langu lingne natarajia kufungua salon ya kike...kuna mchepuko wangu wa zaman..miaka kamaa mi 4 hiv iliyopita anaish maisha ya tabu sana nataka nimweke hapo apate miambil miambil.. namim anipe chochote kitu...nikiweka na hayo mawig nadhan ita make sense....heb nipe ushaur nin cha kuzingatia katika biashara hyo ya salon ya wanawake..naona skuhiz manicure na pedicure znakua znaongezewa ndan humo pia. .nmependa hyo idea aisee..ndomana nmeandika snaa
Ushafikisha magoli mangapi?
 
Saloon iwe na Bei za kizalendo, msusi awe Yuko vizuri, makeup ziwe za viwango utawapata .
 
Whaaaat...nmekubali...
Ila wanawake noma jaman...anakod wigi anaenda nyanduliwa nalo..wanashikana shikana...anarudisha anachkua mwingne..

Na vile huwa hamvui mawig mkinyanduliwa sabab hamtak onyesha vipilipili...hiiiiiiii

Ila nmeikubal idea hyo ..goli langu lingne natarajia kufungua salon ya kike...kuna mchepuko wangu wa zaman..miaka kamaa mi 4 hiv iliyopita anaish maisha ya tabu sana nataka nimweke hapo apate miambil miambil.. namim anipe chochote kitu...nikiweka na hayo mawig nadhan ita make sense....heb nipe ushaur nin cha kuzingatia katika biashara hyo ya salon ya wanawake..naona skuhiz manicure na pedicure znakua znaongezewa ndan humo pia. .nmependa hyo idea aisee..ndomana nmeandika snaa
Mwaka 2018 niliwah fikiria sana kuweka sauna Geita...nikaanza tafuta na eneo kbs ...aisee..ghafla kuna mwana akafungua sauna ..uwii watu wanapanga foleni.. kwa only 10000/=
Hapa moro imefunguliwa sauna moja ni 30000/= for 30min..na tunapanga foleni!...
Sasa ukifungua na saloon weka na kisauna😋! Napenda sauna mwili unarelax sana
 
Kuna mwanamke humu jf yeye kila fursa kaifanya au anaijua kiundani😂😂😅😅😅
Wewe ni dogo kama jina lako? Ngoja nikwambie kitu. Humu kuna watu wazima ambao wamepitia mihangaiko mingi sana tofauti na mtoto aliemaliza chuo akaajiriwa TAMISEMI. Kwahio ukiona nyani Mzee ujue kakwepa mishale mingi. Tafakari.
 
Whaaaat...nmekubali...
Ila wanawake noma jaman...anakod wigi anaenda nyanduliwa nalo..wanashikana shikana...anarudisha anachkua mwingne..

Na vile huwa hamvui mawig mkinyanduliwa sabab hamtak onyesha vipilipili...hiiiiiiii

Ila nmeikubal idea hyo ..goli langu lingne natarajia kufungua salon ya kike...kuna mchepuko wangu wa zaman..miaka kamaa mi 4 hiv iliyopita anaish maisha ya tabu sana nataka nimweke hapo apate miambil miambil.. namim anipe chochote kitu...nikiweka na hayo mawig nadhan ita make sense....heb nipe ushaur nin cha kuzingatia katika biashara hyo ya salon ya wanawake..naona skuhiz manicure na pedicure znakua znaongezewa ndan humo pia. .nmependa hyo idea aisee..ndomana nmeandika snaa
Enhe, niligundua wadada wengi wauswaz wanavaa wigi Sana lakini zile ambazo ni cheap Sana na hazina quality, nikaanza na mawig 5 zile lace wig za kuanzia laki na nusu, nikaziweka saluni, kukodi 10000.

Kwa Sasa namawig 20, biashara sio mbaya ukizingatia saloon ipo uswazi kwa wanaopenda vigodoro silali njaa.
Nendeni Mwenge Jose Salon mkaone watu wanavyopiga pesa ndefu kwa vitu ambavyo watu wanavidharau. Ukisimulia humu utaambiaa motivational speaker!
 
Back
Top Bottom