Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makokoto, nondo, sementi kibao[emoji35][emoji35]ndio maana mimi najengaga nikichoka natulia[emoji23]
Ha ha ha...uko serious?
[/QUO
NSeri
Sawa mkuu wengine wamejazia nyama
Whaaaat...nmekubali...Enhe, niligundua wadada wengi wauswaz wanavaa wigi Sana lakini zile ambazo ni cheap Sana na hazina quality, nikaanza na mawig 5 zile lace wig za kuanzia laki na nusu, nikaziweka saluni, kukodi 10000.
Kwa Sasa namawig 20, biashara sio mbaya ukizingatia saloon ipo uswazi kwa wanaopenda vigodoro silali njaa.
Duh kweli mjini MipangoEnhe, niligundua wadada wengi wauswaz wanavaa wigi Sana lakini zile ambazo ni cheap Sana na hazina quality, nikaanza na mawig 5 zile lace wig za kuanzia laki na nusu, nikaziweka saluni, kukodi 10000.
Kwa Sasa namawig 20, biashara sio mbaya ukizingatia saloon ipo uswazi kwa wanaopenda vigodoro silali njaa.
Tena unalipa mbao mpya kabisa, si mbao tuu wametengeneza formwork pia za nguzo, wanapiga hela ingawa si kila sikuWatu wa hardware wanapiga sana pesa kwenye hii biashara na ukipasua mbao yake unailipa..!!!
Ushafikisha magoli mangapi?Whaaaat...nmekubali...
Ila wanawake noma jaman...anakod wigi anaenda nyanduliwa nalo..wanashikana shikana...anarudisha anachkua mwingne..
Na vile huwa hamvui mawig mkinyanduliwa sabab hamtak onyesha vipilipili...hiiiiiiii
Ila nmeikubal idea hyo ..goli langu lingne natarajia kufungua salon ya kike...kuna mchepuko wangu wa zaman..miaka kamaa mi 4 hiv iliyopita anaish maisha ya tabu sana nataka nimweke hapo apate miambil miambil.. namim anipe chochote kitu...nikiweka na hayo mawig nadhan ita make sense....heb nipe ushaur nin cha kuzingatia katika biashara hyo ya salon ya wanawake..naona skuhiz manicure na pedicure znakua znaongezewa ndan humo pia. .nmependa hyo idea aisee..ndomana nmeandika snaa
Naonaga saloon wanakodisha...safi sana aise....Mimi nakodisha mawigi.
Saloon iwe na Bei za kizalendo, msusi awe Yuko vizuri, makeup ziwe za viwango utawapata .Whaaaat...nmekubali...
Ila wanawake noma jaman...anakod wigi anaenda nyanduliwa nalo..wanashikana shikana...anarudisha anachkua mwingne..
Na vile huwa hamvui mawig mkinyanduliwa sabab hamtak onyesha vipilipili...hiiiiiiii
Ila nmeikubal idea hyo ..goli langu lingne natarajia kufungua salon ya kike...kuna mchepuko wangu wa zaman..miaka kamaa mi 4 hiv iliyopita anaish maisha ya tabu sana nataka nimweke hapo apate miambil miambil.. namim anipe chochote kitu...nikiweka na hayo mawig nadhan ita make sense....heb nipe ushaur nin cha kuzingatia katika biashara hyo ya salon ya wanawake..naona skuhiz manicure na pedicure znakua znaongezewa ndan humo pia. .nmependa hyo idea aisee..ndomana nmeandika snaa
Mwaka 2018 niliwah fikiria sana kuweka sauna Geita...nikaanza tafuta na eneo kbs ...aisee..ghafla kuna mwana akafungua sauna ..uwii watu wanapanga foleni.. kwa only 10000/=Whaaaat...nmekubali...
Ila wanawake noma jaman...anakod wigi anaenda nyanduliwa nalo..wanashikana shikana...anarudisha anachkua mwingne..
Na vile huwa hamvui mawig mkinyanduliwa sabab hamtak onyesha vipilipili...hiiiiiiii
Ila nmeikubal idea hyo ..goli langu lingne natarajia kufungua salon ya kike...kuna mchepuko wangu wa zaman..miaka kamaa mi 4 hiv iliyopita anaish maisha ya tabu sana nataka nimweke hapo apate miambil miambil.. namim anipe chochote kitu...nikiweka na hayo mawig nadhan ita make sense....heb nipe ushaur nin cha kuzingatia katika biashara hyo ya salon ya wanawake..naona skuhiz manicure na pedicure znakua znaongezewa ndan humo pia. .nmependa hyo idea aisee..ndomana nmeandika snaa
cone mixHio ya mwisho ni nini?
pole mkuu usiumie na mtu kujua vituKuna mwanamke humu jf yeye kila fursa kaifanya au anaijua kiundani😂😂😅😅😅
Wewe ni dogo kama jina lako? Ngoja nikwambie kitu. Humu kuna watu wazima ambao wamepitia mihangaiko mingi sana tofauti na mtoto aliemaliza chuo akaajiriwa TAMISEMI. Kwahio ukiona nyani Mzee ujue kakwepa mishale mingi. Tafakari.Kuna mwanamke humu jf yeye kila fursa kaifanya au anaijua kiundani😂😂😅😅😅
Whaaaat...nmekubali...
Ila wanawake noma jaman...anakod wigi anaenda nyanduliwa nalo..wanashikana shikana...anarudisha anachkua mwingne..
Na vile huwa hamvui mawig mkinyanduliwa sabab hamtak onyesha vipilipili...hiiiiiiii
Ila nmeikubal idea hyo ..goli langu lingne natarajia kufungua salon ya kike...kuna mchepuko wangu wa zaman..miaka kamaa mi 4 hiv iliyopita anaish maisha ya tabu sana nataka nimweke hapo apate miambil miambil.. namim anipe chochote kitu...nikiweka na hayo mawig nadhan ita make sense....heb nipe ushaur nin cha kuzingatia katika biashara hyo ya salon ya wanawake..naona skuhiz manicure na pedicure znakua znaongezewa ndan humo pia. .nmependa hyo idea aisee..ndomana nmeandika snaa
Nendeni Mwenge Jose Salon mkaone watu wanavyopiga pesa ndefu kwa vitu ambavyo watu wanavidharau. Ukisimulia humu utaambiaa motivational speaker!Enhe, niligundua wadada wengi wauswaz wanavaa wigi Sana lakini zile ambazo ni cheap Sana na hazina quality, nikaanza na mawig 5 zile lace wig za kuanzia laki na nusu, nikaziweka saluni, kukodi 10000.
Kwa Sasa namawig 20, biashara sio mbaya ukizingatia saloon ipo uswazi kwa wanaopenda vigodoro silali njaa.
Na mjuaji😊Nendeni Mwenge Jose Salon mkaone watu wanavyopiga pesa ndefu kwa vitu ambavyo watu wanavidharau. Ukisimulia humu utaambiaa motivational speaker!