Mjini Mipango: Unaweza kuanza hii biashara hata kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest

Hiyo ndiyo Changamoto yangu
Huwa sikai na karaha moyoni

Yaani ukiona nimenyamaza hapo hujanigusa(nagusika zaidi kwenye mambo ya pesa)
Endelea hivyo hivyo, ukimya unaumiza sana, unatamani useme huwezi
 
Ukiwa open minded unaona fursa nyingi sana.

Na fursa nyingine unaziona kutokana na shughuli unazozifanya, eneo unaloishi na vile unavyotoka kukutana na watu.

Niliambiwa kuna watu wanakodisha viatu hadi nguo kwa siku.

Hahahahahahaaa!! Hii ya nguo na viatu nimeiona uganda kwenye kiwanda cha mukwano. Nje ya geti kuna frem kabisa wanafanya iyo bznes izo ni kwjili y kuingilia kiwandan tu. Ukitoka unarejesha kwao. Pia nikaja bongo pale Dangote napo ivyo ivyo na twiga cement. Jamaa wanapiga pesa tu
 

Vijana wanashangaa!
 
Hapo kiwandani maanake huingia bila safety gears....Wageni lazima wakodi au usiingie.
 

Great Idea [emoji7]
 
Mbao 20 kwa 30,000/- na hujasema unakaa nazo kwa muda gani [siku ngapi], ila unaona jamaa anapiga hela! Japo ni mchongo, ila umeikuza sana.

Unahesabia FAIDA tu, wala hujui changamoto zake!

Mbao moja MPYA inauzwa bei gani, inaweza kutumika mara ngapi?

Kwangua HAPA ushinde.
 

Sauna ni 'nyungu' iliyochangamka!🤏[emoji2535][emoji276]
 
Isanga family unaona huyu alichojibu? Na yuko sahihi mno kwa 100% nashangaa unasema watanzania ni wachapa kazi...hakuna kitu kama hicho!
Mmebaki kudharauliana Mkuu watu hawana connection na walio na connection wengi ndio went fursa mimi nimeona watu wanapiga kazi tena miaka hiyo kwa kukataa likizo ili wachange huku wakijua hali ya bongo haipo sawa kwenye familia zao...
 
Fanya utafiti wako. Maneno yangu sio sheria.
 
Shida ni kwamba vijana akisikia tu hii fursa hajiongezi zaidi ya hiyo fursa

kuna mtu atatoka kwenye hii thread na hela yake/mtaji kurupu anaenda nunua

mbao/marine board/sururu/nyundo kubwa,nk anaenda vitega mahali,kisha anakaa pembeni

anasubiri wateja wakukodisha vitu waje,halafu akikaa siku 3 mpk wiki hajaona mtu anaona kina rrondo.

walimuingiza chaka au atarudi hapa utamsikia 'biashara za mdomoni" nk nk,maneno mingiiiii kisa hajaona

matunda ya hii biashara,wakati ukweli ni kwamba hii ni biashara ya "kuongeza kipato" si biashara ya kutafutia kipato.

kama ni biashara ya kuongeza kipato maana yake hii sio biashara yakuitegemea eti uitolee macho jioni urudi na hela kiasi flani.

Biashara kama hii ni biashara unayotakiwa kuongeza kipato toka kwenye biashara yako nyingine unayoifanya,yawezekana ukawa ni mama ntilie,ukawa boda boda,ukawa machinga,nk biashara yyte ile utayokua unafanya.

kisha ukaamua sasa kujiongezea kipato kuptia hii biashara,ni Bonge moja la Backup Business ambayo hutoamini kama kuna watu wanavuta hela kiulaini namna hiii.

ONYO:

Hii ni biashara ya kuongeza kipato usije enda kopa hela huko ukasema unafungua biashara halafu plan zako ni hii biashara,utakuja umtukane rrondo matusi yote hutomuacha hata sehemu 1 maana utahisi hajakuingiza chaka bali utahisi kakuingiza Pori la amazon.

Kwa wenye biashara zenu halafu mmekaa na hela mnataka ongeza kipato,Go ahead with this naipa 95% ktk kudouble your income.
 
Mfano hiyo 30,000 kwa mbao ngapi labda tuseme!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…