Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Mmh..! Seriously?[emoji3064][emoji3064][emoji3064]Acha tu, siku nimeona mtu ananunua mkate nusu nilikoma! Yaani unafunguliwa mtu anachukua silesi kadhaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh..! Seriously?[emoji3064][emoji3064][emoji3064]Acha tu, siku nimeona mtu ananunua mkate nusu nilikoma! Yaani unafunguliwa mtu anachukua silesi kadhaa!
Endelea hivyo hivyo, ukimya unaumiza sana, unatamani useme huweziHiyo ndiyo Changamoto yangu
Huwa sikai na karaha moyoni
Yaani ukiona nimenyamaza hapo hujanigusa(nagusika zaidi kwenye mambo ya pesa)
Ndo kitu kinachonifanya nipachukie kigamboni.Kigamboni tu hapo maji ya Dawasco maeneo mengi hakuna.
Ukiwa open minded unaona fursa nyingi sana.
Na fursa nyingine unaziona kutokana na shughuli unazozifanya, eneo unaloishi na vile unavyotoka kukutana na watu.
Niliambiwa kuna watu wanakodisha viatu hadi nguo kwa siku.
Hahahahahahaaa!! Hii ya nguo na viatu nimeiona uganda kwenye kiwanda cha mukwano. Nje ya geti kuna frem kabisa wanafanya iyo bznes izo ni kwjili y kuingilia kiwandan tu. Ukitoka unarejesha kwao. Pia nikaja bongo pale Dangote napo ivyo ivyo na twiga cement. Jamaa wanapiga pesa tu
Hapo kiwandani maanake huingia bila safety gears....Wageni lazima wakodi au usiingie.Hahahahahahaaa!! Hii ya nguo na viatu nimeiona uganda kwenye kiwanda cha mukwano. Nje ya geti kuna frem kabisa wanafanya iyo bznes izo ni kwjili y kuingilia kiwandan tu. Ukitoka unarejesha kwao. Pia nikaja bongo pale Dangote napo ivyo ivyo na twiga cement. Jamaa wanapiga pesa tu
Enhe, niligundua wadada wengi wauswaz wanavaa wigi Sana lakini zile ambazo ni cheap Sana na hazina quality, nikaanza na mawig 5 zile lace wig za kuanzia laki na nusu, nikaziweka saluni, kukodi 10000.
Kwa Sasa namawig 20, biashara sio mbaya ukizingatia saloon ipo uswazi kwa wanaopenda vigodoro silali njaa.
Mwaka 2018 niliwah fikiria sana kuweka sauna Geita...nikaanza tafuta na eneo kbs ...aisee..ghafla kuna mwana akafungua sauna ..uwii watu wanapanga foleni.. kwa only 10000/=
Hapa moro imefunguliwa sauna moja ni 30000/= for 30min..na tunapanga foleni!...
Sasa ukifungua na saloon weka na kisauna[emoji39]! Napenda sauna mwili unarelax sana
Nimekua addicted😋!Sauna ni 'nyungu' iliyochangamka!🤏[emoji2535][emoji276]
Mimi ni wa mbeya na nimefanya kazi debeers Maline SA miaka yote nilikua mfankazi bora mpaka madogo niliowaunganisha huko nao hivyo hivyo...waliwepo Watanzania Globe Marine wanapiga kazi utadhani ya mjomba wao...Isanga family wewe ni wapi huko tunasifika kwa uchapakazi?🙃
Mmebaki kudharauliana Mkuu watu hawana connection na walio na connection wengi ndio went fursa mimi nimeona watu wanapiga kazi tena miaka hiyo kwa kukataa likizo ili wachange huku wakijua hali ya bongo haipo sawa kwenye familia zao...Isanga family unaona huyu alichojibu? Na yuko sahihi mno kwa 100% nashangaa unasema watanzania ni wachapa kazi...hakuna kitu kama hicho!
Fanya utafiti wako. Maneno yangu sio sheria.Mbao 20 kwa 30,000/- na hujasema unakaa nazo kwa muda gani [siku ngapi], ila unaona jamaa anapiga hela! Japo ni mchongo, ila umeikuza sana.
Unahesabia FAIDA tu, wala hujui changamoto zake!
Mbao moja MPYA inauzwa bei gani, inaweza kutumika mara ngapi?
Kwangua HAPA ushinde.
[emoji23]Ila wabongo sijui kwanini tunapenda kuwaona wengine wavivu
Me too maaI learn from the best.....😇.
Hi I ipo vipi mkuuNa kuna wale ana kisima halafu anaunganisha watu maji na mabomba..
Kila mwezi mnalimpa ..nyumba 5 mnampa karibu 100k ..
Hizi ndo pesa Inaingia huku umelala
Mfano hiyo 30,000 kwa mbao ngapi labda tuseme!Ni hivi kuna hatua ya ujenzi(beam ya zege) inahitaji mbao ili kutengeneza shape ya hio beam sasa mbao hizi unaweza kujikuta unatumia hata 200,000 kununua na ukimaliza kazi hii hutazihitaji sasa badala ya kununua unazikodi kwa hela ndogo kama 30,000 tu. Inapunguza gharama za ujenzi.