boaz mwalwayo
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 6,287
- 4,738
Sure wewe unajua vizuri mambo acha wabahatishajiAmekuwaje GK siku hizi? Mama yake aliwahi pia kuwa mbunge viti maalum Chadema 2010 - 2015.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure wewe unajua vizuri mambo acha wabahatishajiAmekuwaje GK siku hizi? Mama yake aliwahi pia kuwa mbunge viti maalum Chadema 2010 - 2015.
Mwanangu sana.alikua na melody moja tamu sana, mtoto wa kinondoni huyu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]GK amekua lini lecturer?
Unaelewa maana ya lecturer wewe?
Kuna video 1 ya Pauline ilizagaa aisee inatia huruma sana.Jay dee hajawah kua ect. Pauline zongo choka mbaya
Mkuu FA hajawahi kuwa mtoto wa Upanga na sina uhakika na wazee wake kama ulivoelezea, same na Ay. Kwa GK nakubali sawaGK,AY na Mwana FA hao wote mambo safi watoto wa Upanga wazee wao walikuwa na connection kwenye system so kutoboa hao kwao siyo ngumu.
Tofauti na hao TMK wengi utakuta ni watoto wa wavuvi,wafanyakazi wa wahindi na washinda masokoni.
Choka mbaya na hapo ana unafuu siku hiz, dawa za kulevya sio kabisa kama huna pesa. Yule GK mwenyewe ni kwakua kwao pesa ilikuepo ndio maana effevt ya bange haikua significant sana kwake ila member yule na by the way ile ect ni kama ilikua ya GK ndio maana hata akina Fa na Ay walipojipata wakasepa zao, pale zilikua zinawaweka njaa zao tu kwa mtoto wa kishua GK.Kuna video 1 ya Pauline ilizagaa aisee inatia huruma sana.
GK ni lecture wa chuo gani?Kumekuwa na makundi mengi kama Tmk wanaume, wakali kwanza, solid ground, gangwe mob, watu pori, n.k. lakini wasanii wengi waa hayo mkundi wameyumba kiuchumi hasa baada ya kuacha muziki.
Hii ni tofauti na kundi la east cost team, members wake wengi wanadunda mpaka sasa
GK - Lecturer katika chuo mojawapo cha biashara
View attachment 2965661
Mwana FA - Mbunge + naibu waziri
View attachment 2965668
AY - Businessman
View attachment 2965670
BONUS
Lady Jay Dee - Business + kula pensheni, kuna tetesi 2025 kugombea jimbo
Hakuwa moja kwa moja mwana east coast ila tunaweza kusema alikuwa mwana east coast kivuli, alikuwa na ukaribu zaidi na kushirikiana kufanya kazi kibao na wasanii wa east coast
View attachment 2965673
Na mimi ndio ninavyojua hivyo.. bi mkubwa wake ndio lecturer tena kitambo sana... itakuwa hajastaafu tu?Hata GK ukimuona utamuhurumia sana
Jamaa kaandika Crazy Gk ni lecture CBE huku amedanganya. Mama yake mzazi na Crazy GK ndie lecture CBE..
Na mi nimeshangaa aisee!! 😂😂😂GK si ilisemekana mibangi imemkolea almanusura kuwehuka hapa majuzi kati tu?
Leo hii keshakuwa Lecturer ghafla hivi?
Paulina walikuwa wanashinda wanalewa na marehemu MaundaJay dee hajawah kua ect. Pauline zongo choka mbaya
Mwenzake unga ukamuua yeye akanusurikaPaulina walikuwa wanashinda wanalewa na marehemu Maunda
Mleta uzi kachanganya kati ya Pauline Zongo na Jide🤣🤣Jay dee hajawah kua ect. Pauline zongo choka mbaya
Yeah Inapendeza sana lo
Aiseee.!!Mwenzake unga ukamuua yeye akanusurika
Mkuu watz roho mbaya sanaa, mtu anaweza kukuzushia jambo wakati hata hakujui.Umeandika UONGO MAN na sio vizuri kabisa.. kweli O-Ten yupo Moro na ukweli ni Hatumii Dawa labda kama haumaanishi Unga... Tuzungumzie mengine kwa hili Umedanganya Sana. Zaidi muda wowote utakaokutana nae amependeza na anaweza kwenda sehem classic yoyote na asishangaze.
Hauhawahi kupata tuzo,wakti fulani GK nilikuwa namsaidia mambo pale Tudarco,kwakweli muda hausimami,AY leo amekubali kuwa alilala sana kwenye kontena la mafundi nguo pale upanga.'SISTER SISTER' by GK ft Pauline Zongo... hivi huu wimbo uliwahi kupata tuzo yoyote kwenye Tanzania music awards?
-Kaveli-