Mjini mipango: Wasanii wengi waliounda kundi la East coast wanaishi vizuri hadi sasa, kongole kwao kwa mikakati ya kimaendeleo

Mjini mipango: Wasanii wengi waliounda kundi la East coast wanaishi vizuri hadi sasa, kongole kwao kwa mikakati ya kimaendeleo

GK,AY na Mwana FA hao wote mambo safi watoto wa Upanga wazee wao walikuwa na connection kwenye system so kutoboa hao kwao siyo ngumu.

Tofauti na hao TMK wengi utakuta ni watoto wa wavuvi,wafanyakazi wa wahindi na washinda masokoni.
Mkuu FA hajawahi kuwa mtoto wa Upanga na sina uhakika na wazee wake kama ulivoelezea, same na Ay. Kwa GK nakubali sawa
 
Kuna video 1 ya Pauline ilizagaa aisee inatia huruma sana.
Choka mbaya na hapo ana unafuu siku hiz, dawa za kulevya sio kabisa kama huna pesa. Yule GK mwenyewe ni kwakua kwao pesa ilikuepo ndio maana effevt ya bange haikua significant sana kwake ila member yule na by the way ile ect ni kama ilikua ya GK ndio maana hata akina Fa na Ay walipojipata wakasepa zao, pale zilikua zinawaweka njaa zao tu kwa mtoto wa kishua GK.

Ndio maana hata baada ya wao akina Ay kuondoka bado Gk aliendelea na Madogo kadhaa unknown wakiwa ect kabla na yeye hajaamua kwenda kupiga shule zaidi
 
Kumekuwa na makundi mengi kama Tmk wanaume, wakali kwanza, solid ground, gangwe mob, watu pori, n.k. lakini wasanii wengi waa hayo mkundi wameyumba kiuchumi hasa baada ya kuacha muziki.

Hii ni tofauti na kundi la east cost team, members wake wengi wanadunda mpaka sasa

GK - Lecturer katika chuo mojawapo cha biashara

View attachment 2965661


Mwana FA - Mbunge + naibu waziri

View attachment 2965668

AY - Businessman

View attachment 2965670

BONUS

Lady Jay Dee - Business + kula pensheni, kuna tetesi 2025 kugombea jimbo

Hakuwa moja kwa moja mwana east coast ila tunaweza kusema alikuwa mwana east coast kivuli, alikuwa na ukaribu zaidi na kushirikiana kufanya kazi kibao na wasanii wa east coast

View attachment 2965673
GK ni lecture wa chuo gani?
 
Hata GK ukimuona utamuhurumia sana

Jamaa kaandika Crazy Gk ni lecture CBE huku amedanganya. Mama yake mzazi na Crazy GK ndie lecture CBE..
Na mimi ndio ninavyojua hivyo.. bi mkubwa wake ndio lecturer tena kitambo sana... itakuwa hajastaafu tu?
 
GK si ilisemekana mibangi imemkolea almanusura kuwehuka hapa majuzi kati tu?

Leo hii keshakuwa Lecturer ghafla hivi?
Na mi nimeshangaa aisee!! 😂😂😂
 
Umeandika UONGO MAN na sio vizuri kabisa.. kweli O-Ten yupo Moro na ukweli ni Hatumii Dawa labda kama haumaanishi Unga... Tuzungumzie mengine kwa hili Umedanganya Sana. Zaidi muda wowote utakaokutana nae amependeza na anaweza kwenda sehem classic yoyote na asishangaze.
Mkuu watz roho mbaya sanaa, mtu anaweza kukuzushia jambo wakati hata hakujui.
 
Sister Sister.
Nitakufaje.

Kazi bora kabisa za muda wote from GK ft. Pauline Zongo.

Bongo Flava ya miaka Ile ilikuwa tamu sana.

Muziki wa sasa hauna 'brain' wala ladha. What went wrong kwenye tasnia hii bongo?

Long live GK, Pauline Zongo, na wana ECT wote mlioko hai todate. Mlitoa burudani sana those days. 😎

-Kaveli-
 
'SISTER SISTER' by GK ft Pauline Zongo... hivi huu wimbo uliwahi kupata tuzo yoyote kwenye Tanzania music awards?

-Kaveli-
 
'SISTER SISTER' by GK ft Pauline Zongo... hivi huu wimbo uliwahi kupata tuzo yoyote kwenye Tanzania music awards?

-Kaveli-
Hauhawahi kupata tuzo,wakti fulani GK nilikuwa namsaidia mambo pale Tudarco,kwakweli muda hausimami,AY leo amekubali kuwa alilala sana kwenye kontena la mafundi nguo pale upanga.
Lkn ni funzo kuwa uwe mtulivu maisha mabovu huwa na muda mrefu duniani.
 
Back
Top Bottom