Mjomba anawachukia watoto wangu?

Mjomba anawachukia watoto wangu?

Habari za Jumapili ndugu zangu kaka/dada zangu wote kwa ujumla Natumaini mmeamka vema, Mimi pia mzima,

Sawa Mimi sio mwandishi mzuri Wala mwandikaji ila lengo la Uzi ni kwamba kuna situation naipitia. Nina watoto kadhaa nipo pia na mama yao, hapa nyumbani baada ya maisha kuwa sio sawa kidogo nikarudisha Mpira Nyumbani.

Changamoto zipo hazikosekani ila ndogo ndogo ila kubwa ni hii mjomba anachukia watoto wangu na hiki kinaniuma sana!

Watoto wanaweza kuwa wanacheza nje ya uwanjani wakimuona basi wanakimbia ndani kuja kwangu au kwa mama yao, yani muda wote amekasirika amenuna nuna tu mimi tukionana namsalimia tu basi imetoka maana huwezi kuchukia watoto mimi pia nikakuthamini.

Hali yangu ni mbaya sana hasa kiuchumi ni kazi ndogo ndogo za kubangaiza namuomba sana Mungu kila siku angalau nipate kwangu nitoke hapa naumia sana naona yani anafanya yote kwa sababu anajua sina pa kwenda, ndugu zangu mnisaidie mawazo, ushauri ata kama kazi nifanye.

Niwatakie Jumapili njema Ndugu zangu.
Mjomba nahisi atakuw shoga tu
 
Usimchukie mjomba kwa kukuchukia kwani bila mj.kufanya hivyo utazubaa Sana

Hapo iambie akili yako ifanye kitu ili mjoba aje akuheshimu baadae

Na vitu vyenyewe vya kufanya nihivi

1)tafuta namba za washkaji ulio.soma nao kisha omba michongo
2) usishinde home mda mwingi kwani michongo haikufwati home michongo huja ukiwa.michongoni/usichague kazi

3)tembelea sehemu zilizo changamka.hapo maeneo ulipo huto kosa maraika wa kuku toa mkuu
 
Habari za Jumapili ndugu zangu kaka/dada zangu wote kwa ujumla Natumaini mmeamka vema, Mimi pia mzima,

Sawa Mimi sio mwandishi mzuri Wala mwandikaji ila lengo la Uzi ni kwamba kuna situation naipitia. Nina watoto kadhaa nipo pia na mama yao, hapa nyumbani baada ya maisha kuwa sio sawa kidogo nikarudisha Mpira Nyumbani.

Changamoto zipo hazikosekani ila ndogo ndogo ila kubwa ni hii mjomba anachukia watoto wangu na hiki kinaniuma sana!

Watoto wanaweza kuwa wanacheza nje ya uwanjani wakimuona basi wanakimbia ndani kuja kwangu au kwa mama yao, yani muda wote amekasirika amenuna nuna tu mimi tukionana namsalimia tu basi imetoka maana huwezi kuchukia watoto mimi pia nikakuthamini.

Hali yangu ni mbaya sana hasa kiuchumi ni kazi ndogo ndogo za kubangaiza namuomba sana Mungu kila siku angalau nipate kwangu nitoke hapa naumia sana naona yani anafanya yote kwa sababu anajua sina pa kwenda, ndugu zangu mnisaidie mawazo, ushauri ata kama kazi nifanye.

Niwatakie Jumapili njema Ndugu zangu.
Kweli wewe siyo mwandishi mzuri, ila jitahidi ueleze uko wapi na kwa sasa unafanya nini hàta kama unauza kashata na kasusi sema ili tukushauri kwà hayo mazingira unaweza kufanya nini au labda ni jirañi yetu tukusaidie.
 
"Katika vitu sikubaliani navyo ni kuwa siku inabadilika ifikapo saa sita usiku"
Ni wajinga tu ndo wana amini hivyo. nisawa na kusema saa6 iwe saa12 mtu anakubali pamoja na elimu yake.
no za viatu 44 iwe no10 ujinga huu siuwezi.

Turudi kwenye mada.

Mkuu mleta uzi pole sana na shukuru sana afya uliyo nayo.
kosa la kwanza ulilofanya ni kwenda kwao mama na familia!

mara10 ungeenda kwa baba kule una matumaini hata ya kupewa urithi.
na vile ulienda huko hata baba zako walikuona hamnazo kichwani.

cha kufanya toka hapa nenda sehemu iache family hapo kwanza kapambane hata kama ni kazi za
kukaa mashani fanya hivyo! usiogope mwanaume ni shujaa sikuu zote.

ingia bondeni lima bustani za mbogamboga pambana usikae kizembe
 
Umasikini ni m'baya sana.
Hawa vijana umaskini wana utafutaga wenyewe.

Mtu anajua kabisa yeye ni maskini na hali ya nyumbani kwao kiuchumi ni mbaya, Badala ya kujijenga yeye kwanza anakimbilia kuzaa watoto na kuwa na familia.

Hapo lazima umaskini umtwange kisawasawa mpaka pale akili zitakapo mkaa sawasawa.
 
Back
Top Bottom