- Thread starter
- #61
Ujombani mkuuHapo ni nyumbani kwenu (kwa baba yako) au ni kwao mama yako (ujombani)?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujombani mkuuHapo ni nyumbani kwenu (kwa baba yako) au ni kwao mama yako (ujombani)?
Shida iko hapo,Mjomba ndo kwao mkuu
Mlioko kanda ya ziwa jamaniNilikuwa kwenye mashine ya kusaga mkuu mi kwetu ni Kanda ya ziwa mkoa mara
Pole.Sina kwetu mkuu baba yangu namjua kwa sura tu, napambana nami niwe na changu mkuu Sina muda nae kabisa
AiseeHabari za Jumapili ndugu zangu kaka/dada zangu wote kwa ujumla Natumaini mmeamka vema, Mimi pia mzima,
Sawa Mimi sio mwandishi mzuri Wala mwandikaji ila lengo la Uzi ni kwamba kuna situation naipitia. Nina watoto kadhaa nipo pia na mama yao, hapa nyumbani baada ya maisha kuwa sio sawa kidogo nikarudisha Mpira Nyumbani.
Changamoto zipo hazikosekani ila ndogo ndogo ila kubwa ni hii mjomba anachukia watoto wangu na hiki kinaniuma sana!
Watoto wanaweza kuwa wanacheza nje ya uwanjani wakimuona basi wanakimbia ndani kuja kwangu au kwa mama yao, yani muda wote amekasirika amenuna nuna tu mimi tukionana namsalimia tu basi imetoka maana huwezi kuchukia watoto mimi pia nikakuthamini.
Hali yangu ni mbaya sana hasa kiuchumi ni kazi ndogo ndogo za kubangaiza namuomba sana Mungu kila siku angalau nipate kwangu nitoke hapa naumia sana naona yani anafanya yote kwa sababu anajua sina pa kwenda, ndugu zangu mnisaidie mawazo, ushauri ata kama kazi nifanye.
Niwatakie Jumapili njema Ndugu zangu.
Mara sehemu gani?Nilikuwa kwenye mashine ya kusaga mkuu mi kwetu ni Kanda ya ziwa mkoa mara
Maisha si fumbo.
Kwa hiyo unasubiri uje ushikwe mkono ndipo ufanikiwe?Unaposema ulifanikiwa Bila kusaidiwa na mtu na ukatoboa hiyo isiwe assumptions yako kuwa kila mtu anaweza kupambana Bila kushikwa mkono na akafanikiwa.
Kama alikuwa yupo vizuri, Kwa nini arudishe mpira kwa kipa?Huyo mtoa mada kabla hayajamkuta alikuwa yupo vizuri that's why akaona ajenge familia. Kilichomkuta Ni sehemu ya maisha ambayo haya ww yanaweza kukuta muda wowote na wakati wowote.
Hauhitaji kutiwa moyo ili upambane.Kumtukana na kum,beza sio busara Zaidi ilibidi umtie moyo WA kupambana Zaidi ili atoke apo alipo sasa.
Sikweli. Sio matajiri wote wana anguka.Kuwa Kwenye wakati mzuri Kwa sasa kiuchumi haimaanishi utakuwa ivyo miaka yote hata Kama unafanya juhudi za makusudi kuepuka kuanguka kiuchumi badae.
Maisha sio fumbo. Maisha ni mikakati na mipango.Maisha Ni fumbo Mkuu, punguza kubeza walioanguka sababu Kwenye maisha Kuna kukosea, kujifunza na kunyanyuka upya.
Hakuna mtu aliyebezwa. Hapa tuna elezana uhalisia wa maisha ulivyo.Ww kuwa na nguvu ya kiuchumi Kwa sasa sio sababu ya kuwabeza wengine na Sina hakika Kama utaweza kujua kila kitu na kila mbinu ya kuendelea kuwa ulipo hapo Leo.
Huyo Mungu hayupo na hajawahi kuwepo kusaidia kitu chochote kile.Zaidi Sana muombe Mungu Mkuu, binadamu pekee yake hawezi kufanikiwa Kwa kila kitu na hata kujua yajayo.
Hakuna jamii ya namna hiyo kanda ya ziwa.Matrilineal Society hao
Ninakuelewa sana.Maisha si fumbo.
Hizi ni mentality mlizo jiwekea kichwani zisizo na uhalisia wowote ule
Kwa hiyo unasubiri uje ushikwe mkono ndipo ufanikiwe?
Kwamba usiposhikwa mkono hautafanikiwa?
Kama alikuwa yupo vizuri, Kwa nini arudishe mpira kwa kipa?
Hauhitaji kutiwa moyo ili upambane.
Kichwa chako lazima kijiwekee mentality ya kupambana muda wote ili usianguke kiuchumi.
Sikweli. Sio matajiri wote wana anguka.
Matajiri wengi tu wanazidi kuwa matajiri na maskini wengi tu wanazidi kuwa maskini.
Baadhi ya matajiri wananguka na vivyo hivyo na maskini wanazidi kuanguka kwenye umaskini wao.
Maisha sio fumbo. Maisha ni mikakati na mipango.
Hakuna mtu aliyebezwa. Hapa tuna elezana uhalisia wa maisha ulivyo.
Huyo Mungu hayupo na hajawahi kuwepo kusaidia kitu chochote kile.
Ndio maana hata mleta mada licha ya kumuomba sana huyo Mungu amsaidie,
Mungu huyo Kashindwa kumsaidia mpaka amefikia hatua ya kuja kwetu sisi binadamu wenzie tumsaidie ushauri na mawazo.
Tatizo watoto wako watundu sana ww umewalea kimayai kuvuluga vitu ovyo ndo ukajua watafanya ivyo kwa watu wote chief siyo kweli ukitaka kuwalea kimayai ishi nao kwako hata nyumba ya kiza kumbuka mtoto ni wa ulimwengu siyo wako peke yako ndo maana tunasema asiyefunza na ***** ulimwengu utamfunzaHabari za Jumapili ndugu zangu kaka/dada zangu wote kwa ujumla Natumaini mmeamka vema, Mimi pia mzima,
Sawa Mimi sio mwandishi mzuri Wala mwandikaji ila lengo la Uzi ni kwamba kuna situation naipitia. Nina watoto kadhaa nipo pia na mama yao, hapa nyumbani baada ya maisha kuwa sio sawa kidogo nikarudisha Mpira Nyumbani.
Changamoto zipo hazikosekani ila ndogo ndogo ila kubwa ni hii mjomba anachukia watoto wangu na hiki kinaniuma sana!
Watoto wanaweza kuwa wanacheza nje ya uwanjani wakimuona basi wanakimbia ndani kuja kwangu au kwa mama yao, yani muda wote amekasirika amenuna nuna tu mimi tukionana namsalimia tu basi imetoka maana huwezi kuchukia watoto mimi pia nikakuthamini.
Hali yangu ni mbaya sana hasa kiuchumi ni kazi ndogo ndogo za kubangaiza namuomba sana Mungu kila siku angalau nipate kwangu nitoke hapa naumia sana naona yani anafanya yote kwa sababu anajua sina pa kwenda, ndugu zangu mnisaidie mawazo, ushauri ata kama kazi nifanye.
Niwatakie Jumapili njema Ndugu zangu.
Nimesima coment yake moja hapo juu,mama yake ni single mother,alitekekezwa na baba yake,hili ni funzo kwetu ,tukitelekeza watoto wanatesrka ,wanakosa addressMatrilineal Society hao
Watu wengi sana wanazaa watoto kabla ya kujijenga kiuchumi halafu wanafikiri kuna mtu atakuja kuwaonea huruma na umaskini wao.Ninakuelewa sana.
Ilikuwaje hadi ukawa mpumbavu kuhamia upande wa mama yako? HAPO SIO KWENU HAMA HARAKA SANA.Habari za Jumapili ndugu zangu kaka/dada zangu wote kwa ujumla Natumaini mmeamka vema, Mimi pia mzima,
Sawa Mimi sio mwandishi mzuri Wala mwandikaji ila lengo la Uzi ni kwamba kuna situation naipitia. Nina watoto kadhaa nipo pia na mama yao, hapa nyumbani baada ya maisha kuwa sio sawa kidogo nikarudisha Mpira Nyumbani.
Changamoto zipo hazikosekani ila ndogo ndogo ila kubwa ni hii mjomba anachukia watoto wangu na hiki kinaniuma sana!
Watoto wanaweza kuwa wanacheza nje ya uwanjani wakimuona basi wanakimbia ndani kuja kwangu au kwa mama yao, yani muda wote amekasirika amenuna nuna tu mimi tukionana namsalimia tu basi imetoka maana huwezi kuchukia watoto mimi pia nikakuthamini.
Hali yangu ni mbaya sana hasa kiuchumi ni kazi ndogo ndogo za kubangaiza namuomba sana Mungu kila siku angalau nipate kwangu nitoke hapa naumia sana naona yani anafanya yote kwa sababu anajua sina pa kwenda, ndugu zangu mnisaidie mawazo, ushauri ata kama kazi nifanye.
Niwatakie Jumapili njema Ndugu zangu.
Vigumu kupata mtu atakuja kukusaidia kwa mipango yako iliyokufa kisa "maisha ni milima na mabonde" sasa mabonde yako yanamsaidia nini mtu baki?Boss kwakuwa umejipata usione hakuna kukwama katika maisha hilo ulitambue
Maisha ni milima na mabonde,kuna ambao hupita mlimani tu na kuna ambao hukutana na mabonde,kwahiyo narudia tena usiowaone wajinga walio kwama kimaisha na wala usiwaone ni wazembe,hakuna anayependa maisha mabaya
Ila siku zote maisha hayatupi tunatochaka ingawa tunatamani iwe hivyo
Wewe ni miongoni mwa maskini wengi mliokimbilia kuoa na kuwa na watoto huku mkitegemea bahati kwenye kuwatunza. Watu kama nyie inatakiwa mpewe adhabu kali sana kwa huo upumbavu mlio nao. Hakuna mtu wa kukuonea huruma hapa JF na nje ya JF. Beba msalaba wako. Unatia hasira kinyama wewe bwege.Sina ujuzi ila kazi yoyote naweza Fanya ikiwa sijui ukinipa maelekezo nafanya
Hawakuandikiwa barua na hao watoto wawazae. Nakuunga mkono 100%.Wala sihitaji unione niko sahihi.
Ila nakwambia hivi, Umaskini hauna bahati mbaya. Umaskini unatokana na uzembe na mipango mibovu.
Sio uwe tajiri, Bali uwe na uwezo wa kuhudumia mahitaji ya familia yako kwanzia makazi, chakula, elimu na mahitaji mengine yote ya msingi.
Kabla ya kuleta kiumbe duniani hakikisha utaweza kukihudumia, Sio kuja kutia tia huruma kutaka msaada wa watu wengine usaidiwe.
Hakuna aliye kusaidia kuleta watoto duniani. Vivyo hivyo usitegemee uje usaidiwe kulelewa watoto wako.
Na wewe ulioa ukabaki hapo ujombani?Ni upande wa ujombani mkuu kwao na mama
Nilizingatia sana mpaka nilipofikisha 31 ndipo nikamleta Mtanganyika mpya nikiwa na utulivu kiakili na kiuchumi.Watu wengi sana wanazaa watoto kabla ya kujijenga kiuchumi halafu wanafikiri kuna mtu atakuja kuwaonea huruma na umaskini wao.
Maisha lazima yawatwange kisawasawa mpaka pale akili zitakapo funguka.
Kabla mtu hajaleta kiumbe kwenye hii Dunia ahakikishe ana uwezo wa kuja kutoa huduma zote, Sio kuja kutia tia huruma kutaka msaada.
Huko sio kwenu man!!?Ni upande wa ujombani mkuu kwao na mama