Mjomba wangu ni taxi driver Arusha lakini anatongozwa sana na wanawake wazuri, ninamuonea wivu nifanyeje!?

Ukiwa mtu wa Mungu Hali Huwa hivyo with experience!kuwa shalow uone utafukuzia kina Aisha ngedere Hadi ukome!
 
Babu Mungu fundi watu wamejaaliwa
Me sipendi wanhivo
Mweeeh πŸ˜” πŸ˜” πŸ˜” πŸ˜” πŸ˜” Anza kazi ya udereva taxi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…