Mjomba wangu ni taxi driver Arusha lakini anatongozwa sana na wanawake wazuri, ninamuonea wivu nifanyeje!?

Englishi ya kiwaki madafwaker mwenyewe 😂😂🥱
 
Mwanaume ukitongozwa na mwanamke jua ni mtego aidha wa Magonjwa, roho chafu au kufilisiwa. Dhambi iliingia duniani kupitia mwanamke so watch out. Kutongozwa na mwanamke sio sifa nzuri you are the target to be killed physical or spiritual.
 
Du embu simulia baba ilikuwaje hiyo
Huyo tajiri ronald kutoka moshi alikuwa bar na washkaji zake jijini dar sasa ile kuchombeza chombeza wale ma bar maid kuna mmoja alimuambia "we mbaba vipi mbona sikuelewi" demu akasepa kumbuka jamaa ni well known na famous hata ndinga aliyokuja nayo ni kali ila demu alichomoa

Kuna kitu zaidi ya pesa kwenye attraction mkuu amini
 
We malaya hao wanaangaliaga attraction kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…