Ahsante Sky Eclat wetu!Plz Sky Eclat
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante Sky Eclat wetu!Plz Sky Eclat
tuendelee na maswali mtu anapopata huu ugonjwa mwilini mwake virus vinakuwa vinafanya nini maana si mnadai mtu anaweza kukaa hata miaka kumi bila kuumwa chochoteShosti Mimi ni Sky
Nina wasiswasi na wewe...nielezee bana maana leo nimeamini ngoma ipo ila nashindwa kuelewa imeondokaje na jamaa fasta hivo
njoo tukapime .Nina wasiswasi na wewe...
mudaa[emoji1]Afu ile movie yako ya Jack Sparrow imetoka!
cd4 ni nini kwanza ? nivumilie mimi sijui chochote mwenzangu nataka nijifunze nijue huu ugonjwa maana nilikuwa mfuasi wa DeceptionVinajiingiza kwenye CD4 na kijitioa copy hivyo CD4 zinapungua na virusi vinaongezeka
Shost inamaana husomi ninayoandika ni kama jeshi la ulinzi mwilini linacyopungua ni sawa na nchi bila jeshi la ulinzi adui yeyote anaweza kuingia na mwili unakuwa dhaifucd4 ni nini kwanza ? nivumilie mimi sijui chochote mwenzangu nataka nijifunze nijue huu ugonjwa maana nilikuwa mfuasi wa Deception
ok ok mwalimu so nimeelewa vizuri. sory ungetumia fimboShost inamaana husomi ninayoandika ni kama jeshi la ulinzi mwilini linacyopungua ni sawa na nchi bila jeshi la ulinzi adui yeyote anaweza kuingia na mwili unakuwa dhaifu
Nije wapi?njoo tukapime .
Usiogope hata Mimi ni doctor...ni pm nikupe formula ya kuua hivi virusi [emoji4]alisema arv ndo zinaua hakuna HIV mbona watu wanakufa wasipotumia sasa? Sky Eclat
"Comment ako" ....mwandiko umefanana na wa mke wangu huuNimejifunza kitu mkuu kwenye haya maisha kupitia hiii coment ako nimejifunza kitu barikiwa....pumzika kwa aman mkuu seti
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Ht mm nimesikia kitu km hicho anyway May his soul rest in peace To Him All We Shall Returnwanasema cd4 ilishuka sana alikuwa hana namna
amenHt mm nimesikia kitu km hicho anyway May his soul rest in peace To Him All We Shall Return
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Usijar mkuui..mimi mwanaume haina tabu msalimie shem"Comment ako" ....mwandiko umefanana na wa mke wangu huu
Sorry Kama ni Me.
Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app
mmmmmhAisee ukimwi ni hatari
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Mkuu aya mambo bora kuwa makini tu usije ukakanyaga waya maana acha kabisa. Mi mwenyewe kumeza dawa tu za kawaida naogopa hiyo adhabu za kila siku sidhani kama ntaiweza kwa kweli. May Jah forbid it.