Mjue Bikira wa Kisukuma, kijana mhangaikaji mjini hapa

Mjue Bikira wa Kisukuma, kijana mhangaikaji mjini hapa

Vinajiingiza kwenye CD4 na kijitioa copy hivyo CD4 zinapungua na virusi vinaongezeka
 
Shost inamaana husomi ninayoandika ni kama jeshi la ulinzi mwilini linacyopungua ni sawa na nchi bila jeshi la ulinzi adui yeyote anaweza kuingia na mwili unakuwa dhaifu
ok ok mwalimu so nimeelewa vizuri. sory ungetumia fimbo
 
Nimejifunza kitu mkuu kwenye haya maisha kupitia hiii coment ako nimejifunza kitu barikiwa....pumzika kwa aman mkuu seti

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
"Comment ako" ....mwandiko umefanana na wa mke wangu huu
Sorry Kama ni Me.

Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app
 
"Comment ako" ....mwandiko umefanana na wa mke wangu huu
Sorry Kama ni Me.

Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app
Usijar mkuui..mimi mwanaume haina tabu msalimie shem

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Aisee ukimwi ni hatari

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu aya mambo bora kuwa makini tu usije ukakanyaga waya maana acha kabisa. Mi mwenyewe kumeza dawa tu za kawaida naogopa hiyo adhabu za kila siku sidhani kama ntaiweza kwa kweli. May Jah forbid it.

mkuu panadol naweza kumaliza ata dakika kumi kunywa sijui hizo itakuwaje Mungu aninusuru tu
 
Back
Top Bottom