Mjue Judith Mhina, mwanamama aliyetaka kuinunua Vingunguti na Buguruni Mnyamani kabla hajazuiwa na Hayati Magufuli

Hawa ndio watu tunao wahitaji,masikini wanaharibu miji yetu,dsm ilitakiwa ijengwe majengo mazuri ya kisasa apartments za magorofa kisha watu waje wapange,sio kuruhusu ujenzi holela.
Naunga mkonyo hoja yako....Tandale na Manzese ni moyo.wa jiji its york of city aje mtu awanunue wote yajengwe majengo hasa sio vituo vya mafuta.
 
Kwa nini alizuiwa na Magufuli?
 
Mhina? Ni majina ya Kitanga haya ya huko Usambaani
 
Watu waongo Sana, unafikiria angeweza kumlipa bakhresa kwenye uwekezaji wake na wengineo watoke?
yeye alikuwa mtu wa kati,wenyewe walikuwa wakorea,magu alisema waje wenyewe wafuate taratibu,sio wanapitia kwa mgongo wa mzawa.
ndio maana dili lilibuma,pia madalali walitaka 3% ya hela ambayo mwenye nyumba ungelipwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…