Mjue Judith Mhina, mwanamama aliyetaka kuinunua Vingunguti na Buguruni Mnyamani kabla hajazuiwa na Hayati Magufuli

Mjue Judith Mhina, mwanamama aliyetaka kuinunua Vingunguti na Buguruni Mnyamani kabla hajazuiwa na Hayati Magufuli

Hawa ndio watu tunao wahitaji,masikini wanaharibu miji yetu,dsm ilitakiwa ijengwe majengo mazuri ya kisasa apartments za magorofa kisha watu waje wapange,sio kuruhusu ujenzi holela.
Mji huanzishwa na wanyonge,kamegeni selous mjenge apartments,hao wa mnyamani waliojenga holela ndiyo waanzilishi wa mji,bila wao pasingekuwa na dar es salaam
 
View attachment 2547499

Judith Mhina ni mkurugenzi wa makampuni ya PMM 2001 ESTATES LTD ambayo yanamiliki utitiri wa majumba na majengo Msasani, Mikocheni, Oysterbay na Masaki.

Pia anamiliki eneo kubwa sana la bandari kavu Vingunguti Nyerere Read.

Mama huyu alitaka kununua Vingunguti yote na Buguruni Mnyamani ili aongeze eneo la bandari kavu yake. Tayari alikuwa ameshawalipa watu wengi tu, ndipo Magufuli akasimamisha zoezi hilo.
Magufuli alikua jitu la hovyo sana
 
Aliwahi kuwa Boss wangu huyu harafu ana Moyo mzuri na WA huruma maana Kuna Jamaa yake aliyemuweka kama Mkurugenzi hapo anaemkaza Alitaka kunifanyia mtima nyongo,nikampigia mama akanielewa akanipa changu nikasepa.
 
Mormons Church ni wamarekani
Nilikuwa sijui kama Wana Kanisa Tz

Yes, asili yake ni USA lakini wana ajenda zao za chini chini...

Huwezi wajua kwa sababu jina la kanisa wanalotumia ambalo ni Church of Jesus Christ of Latter Day Saints (Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Mwisho)...

Wapo Morocco next to Total gas station, wapo pia maeneo karibu na EPZ External, wapo Chang'ombe
 
Back
Top Bottom