The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Mormons Church ni wamarekani☠️☠️☠️
hao jamaa wanavinasaba sawa na wajenzi huru
Nilikuwa sijui kama Wana Kanisa Tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mormons Church ni wamarekani☠️☠️☠️
hao jamaa wanavinasaba sawa na wajenzi huru
Ili kuanza kusali Kanisa lao utaratibu upoje nipeni utaratibu niwe nasali Hilo KanisaMormons Church ni wamarekani
Nilikuwa sijui kama Wana Kanisa Tz
Ushahidi unao?Hekla za kimagumashi, watoto wote mataahira, mume kafa kifo tata
Mji huanzishwa na wanyonge,kamegeni selous mjenge apartments,hao wa mnyamani waliojenga holela ndiyo waanzilishi wa mji,bila wao pasingekuwa na dar es salaamHawa ndio watu tunao wahitaji,masikini wanaharibu miji yetu,dsm ilitakiwa ijengwe majengo mazuri ya kisasa apartments za magorofa kisha watu waje wapange,sio kuruhusu ujenzi holela.
Wanakuweka katika uangalizi kwanzaIli kuanza kusali Kanisa lao utaratibu upoje nipeni utaratibu niwe nasali Hilo Kanisa
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Yaani umenena uhalisia halafu linakuja lijitu linasimamisha wazo zuri kama HiloHawa ndio watu tunao wahitaji,masikini wanaharibu miji yetu,dsm ilitakiwa ijengwe majengo mazuri ya kisasa apartments za magorofa kisha watu waje wapange,sio kuruhusu ujenzi holela.
Ni mhaya lkn aliolewa Tanga. Mume Alisha fariki.Mhina ni majina ya Wazigua wa Tanga
Natamani mpango uendeleeJPM kashaenda zake, je mpango wake umeishia wapi?
Mkuu kuna tajiri usiyemjua Tanzania hii??Namjuwa vzr huyu mama
Ni machine kwerikweri
Ova
🤣🤣🤣🤣Mkuu kuna tajiri usiyemjua Tanzania hii??
Magufuli alikua jitu la hovyo sanaView attachment 2547499
Judith Mhina ni mkurugenzi wa makampuni ya PMM 2001 ESTATES LTD ambayo yanamiliki utitiri wa majumba na majengo Msasani, Mikocheni, Oysterbay na Masaki.
Pia anamiliki eneo kubwa sana la bandari kavu Vingunguti Nyerere Read.
Mama huyu alitaka kununua Vingunguti yote na Buguruni Mnyamani ili aongeze eneo la bandari kavu yake. Tayari alikuwa ameshawalipa watu wengi tu, ndipo Magufuli akasimamisha zoezi hilo.
Ulisikia Bakhresa akitaka hayo maeneo akashindwa??Nikajiuliza alikuwa mfanyabiashara gani mkubwa tz huyu?bahresa at al washindwe kuwatoa maskin vingunguti na buguruni aje kufanikiwa huyu wa kuja kwa pesa za mirathi?😅ikiona nyani mjini ujue kaletwa huyo
Wivu ndio ilikuwa miongoni mwa mapungufu yakeMagufuli alikua jitu la hovyo sana
Alirudishiwa pesa zake ?Alishawalipa watu wengi ilikuwa suala la muda tu
Ni kweli, tunahitaji kutengeneza wengi kama hawa.Safi sana; hawa wakitumiwa vizuri, umasikini na njaa unaweza kutoweka.
Aliwahi kuwa Boss wangu huyu harafu ana Moyo mzuri na WA huruma maana Kuna Jamaa yake aliyemuweka kama Mkurugenzi hapo anaemkaza Alitaka kunifanyia mtima nyongo,nikampigia mama akanielewa akanipa changu nikasepa.View attachment 2547499
Judith Mhina ni mkurugenzi wa makampuni ya PMM 2001 ESTATES LTD ambayo yanamiliki utitiri wa majumba na majengo Msasani, Mikocheni, Oysterbay na Masaki.
Pia anamiliki eneo kubwa sana la bandari kavu Vingunguti Nyerere Read.
Mama huyu alitaka kununua Vingunguti yote na Buguruni Mnyamani ili aongeze eneo la bandari kavu yake. Tayari alikuwa ameshawalipa watu wengi tu, ndipo Magufuli akasimamisha zoezi hilo.
Lina ukwel hili?Hekla za kimagumashi, watoto wote mataahira, mume kafa kifo tata
Mormons Church ni wamarekani
Nilikuwa sijui kama Wana Kanisa Tz