Mjue Judith Mhina, mwanamama aliyetaka kuinunua Vingunguti na Buguruni Mnyamani kabla hajazuiwa na Hayati Magufuli

Mjue Judith Mhina, mwanamama aliyetaka kuinunua Vingunguti na Buguruni Mnyamani kabla hajazuiwa na Hayati Magufuli

Kwenye hayo mambo ya majengo na ardhi kuna utakatishaji pesa wa kufuru. Kwenye awamu ya nne kulikuwa na kashfa nyingi. Mtu anayeweza kununua Buguruni na Vingunguti yote huku hajawahi kujulikana na hata 10% ya watanzania kwa biashara anazofanya inabidi kutafakari mno. Kuna mtu mmoja alishawahi sema tajiri namba moja hapa TZ wala sio Mo au Bakresa... kuna miamba haijulikani.
 
Nenda kanisani utampata kirahisi. Anasali kanisa la Mormons Morocco Kinondoni.
Tanzania hii kuna mormons wewe ? Au umejichanganya na autosuggestion feature ya kwenye keypad yako ya simu unachagua Mormons badala ya Moravians ?
Mormons ni fundamental Christians pale Marekani na Wengine wachache America kusini ambao mfumo wao wa kuabudu ,mafundisho na kimaisha wako tofauti sana na madhehebu mengi ,wana mambo yao mengi ya ajabu to say the least Ila sijawahi kulisikia hili dhehebu Africa hii
 
☠️☠️☠️

hao jamaa wanavinasaba sawa na wajenzi huru
Kwenye ibada zao ni marufuku kama sio muumini kuingia ,wala kushoot video au picha , waumini wake wanafundishwa kutofuata mambo ya dunia hii mfano matumizi ya mobile phones ,nk , kutooa au kuolewa na watu wasio waumini wa Mormons sect , kuishi katika vijiji vya ujamaa wa kimormon , nk wanawake na wanaume ni kuvaa sare ,kuna sare za kuvaa wanapoingia kwenye hizo ibada zao za kikanisa na sare za kuvaa wanapokuwa nyumbani , hawa jamaa wana mambo yao mengi kuna documentary niliwahi icheki noma sana
 
Tanzania hii kuna mormons wewe ? Au umejichanganya na autosuggestion feature ya kwenye keypad yako ya simu unachagua Mormons badala ya Moravians ?
Mormons ni fundamental Christians pale Marekani ambao mfumo wao wa kuabudu ,mafundisho na kimaisha wako tofauti sana na madhehebu mengi ,wana mambo yao mengi ya ajabu to say the least Ila sijawahi kulisikia hili dhehebu Africa hii

Ipo mkuu tena vijana wake wako wengi mtaani wanaeneza habari za kanisa hilo wengi ni wazungu na mataifa mengine ya kiafrica wanavaa mashirt meupe na suruali nyeusi wapo Morroco
 
Ipo mkuu tena vijana wake wako wengi mtaani wanaeneza habari za kanisa hilo wengi ni wazungu na mataifa mengine ya kiafrica wanavaa mashirt meupe na suruali nyeusi wapo Morroco
Basi hawa mormons wa kitanzania ni wa mwendo kasi , Mormons mafundisho yao yanawadictate kukaa kwenye vijiji vya kijamaa au mitaa ambayo ni wao pekee bila kuchanganyika na nonbelievers au watu wasio wa dhehebu lao.
Puritanical way of christianity ndio hao
 
MTU ANA ISHI KATIKATI YA JIJI NA NYUMBA YAKE NI HII, NA KIPENDERA CHACKE CHA CCM
iNDEPENDENT  (2).png
 
View attachment 2547499

Judith Mhina ni mkurugenzi wa makampuni ya PMM 2001 ESTATES LTD ambayo yanamiliki utitiri wa majumba na majengo Msasani, Mikocheni, Oysterbay na Masaki.

Pia anamiliki eneo kubwa sana la bandari kavu Vingunguti Nyerere Road.

Mama huyu alitaka kununua Vingunguti yote na Buguruni Mnyamani ili aongeze eneo la bandari kavu yake. Tayari alikuwa ameshawalipa watu wengi tu, ndipo Magufuli akasimamisha zoezi hilo.
Sasa mbona hujamwelezea?, tunataka tumjue, yeye ni nani, katokea wapi, kasoma wapi na hizo pesa katoa wapi nk nk!
 
Back
Top Bottom