Mjue Judith Mhina, mwanamama aliyetaka kuinunua Vingunguti na Buguruni Mnyamani kabla hajazuiwa na Hayati Magufuli

Mjue Judith Mhina, mwanamama aliyetaka kuinunua Vingunguti na Buguruni Mnyamani kabla hajazuiwa na Hayati Magufuli

Basi hawa mormons wa kitanzania ni wa mwendo kasi , Mormons mafundisho yao yanawadictate kukaa kwenye vijiji vya kijamaa au mitaa ambayo ni wao pekee bila kuchanganyika na nonbelievers au watu wasio wa dhehebu lao.
Puritanical way of christianity ndio hao
Hilo kanisa lilifanya waziri mkuu mstaafu wa japani apigwe shaba na gobole, mchana wa jus kali
 
Kwenye ibada zao ni marufuku kama sio muumini kuingia ,wala kushoot video au picha , waumini wake wanafundishwa kutofuata mambo ya dunia hii mfano matumizi ya mobile phones ,nk , kutooa au kuolewa na watu wasio waumini wa Mormons sect , kuishi katika vijiji vya ujamaa wa kimormon , nk wanawake na wanaume ni kuvaa sare ,kuna sare za kuvaa wanapoingia kwenye hizo ibada zao za kikanisa na sare za kuvaa wanapokuwa nyumbani , hawa jamaa wana mambo yao mengi kuna documentary niliwahi icheki noma sana
Mitt romney ni moja ya watu mashuhuri walio kwenye hili dhehebu
Na kwenye ibada zao sare mara nyingi ni suti
 
Kwenye hayo mambo ya majengo na ardhi kuna utakatishaji pesa wa kufuru. Kwenye awamu ya nne kulikuwa na kashfa nyingi. Mtu anayeweza kununua Buguruni na Vingunguti yote huku hajawahi kujulikana na hata 10% ya watanzania kwa biashara anazofanya inabidi kutafakari mno. Kuna mtu mmoja alishawahi sema tajiri namba moja hapa TZ wala sio Mo au Bakresa... kuna miamba haijulikani.
Hao wako wengi na wana hela zaidi ya hao wanaotangazwa. Wana matrilioni ya pesa lakini hawajitangazi. Wanagopa kifo tu na si zaidi ya hapo. Wao wanasema kama kifo kingekuwa kinapewa rushwa kisiwapate wangefanya hivyo haraka sana.
 
Hao wako wengi na wana hela zaidi ya hao wanaotangazwa. Wana matrilioni ya pesa lakini hawajitangazi. Wanagopa kifo tu na si zaidi ya hapo. Wao wanasema kama kifo kingekuwa kinapewa rushwa kisiwapate wangefanya hivyo haraka sana.
Bongo noma sana.. majitu yana hela kama mvua.
 
Ipo mkuu tena vijana wake wako wengi mtaani wanaeneza habari za kanisa hilo wengi ni wazungu na mataifa mengine ya kiafrica wanavaa mashirt meupe na suruali nyeusi wapo Morroco
Ndio morroco wapo,kwa ndani pale pametulia kuna uwanja wa basketball hivi nadhani mule.

Nikiwa Airtel ,ofisi ghorofani nilikua naliona kwa chini.
 
Kheri ange ruhusiwa tu maana ukiwa juu angani na mwewe ukitazama chni hasa iyo mitaa tajwa yaan ni kuaibisha taifa mapema mapema
 
Mama huyu ana Meli zake za mizigo siyo wa mchezo mchezo na ameolewa na Mchungaji wa anapo abudu
 
Back
Top Bottom