Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Huyu shangazi akabidhiwe eneo lote kabisa, nyie wengine sogeeni huko uswekweni mkale utumbo wa kuku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitaka kununua ili kuongeza wigo wa eneo lake la bandari kavu, sio kujenga apartments za maghorofa na majengo mazuri kama usemavyo wewe.Hawa ndio watu tunao wahitaji,masikini wanaharibu miji yetu,dsm ilitakiwa ijengwe majengo mazuri ya kisasa apartments za magorofa kisha watu waje wapange,sio kuruhusu ujenzi holela.
Kuna kabila dogo Lushoto wanaitwa Wambugu ndiyo wanatumia hayo majina wanafanana kimuonekano na Wairaqw wa ManyaraWasambaa
jiwe alikuwa na shida kubwa sana sana. sometimes nahisi tungekuwa mbali sana bila yeye.View attachment 2547499
Judith Mhina ni mkurugenzi wa makampuni ya PMM 2001 ESTATES LTD ambayo yanamiliki utitiri wa majumba na majengo Msasani, Mikocheni, Oysterbay na Masaki.
Pia anamiliki eneo kubwa sana la bandari kavu Vingunguti Nyerere Road.
Mama huyu alitaka kununua Vingunguti yote na Buguruni Mnyamani ili aongeze eneo la bandari kavu yake. Tayari alikuwa ameshawalipa watu wengi tu, ndipo Magufuli akasimamisha zoezi hilo.
Ukiwa juu ya ndege ukiangalia chini , kwa kweli panatia aibu sana ,Mbona keshaanza kuinunua tena, bora wampe tu aviondoe vile vijumba vichafu vinachafua Mji.
Buguruni imekita mizizi ya ushirikina pale ni dampo thus haina maendeleo.
Buguruni, magomeni, manzese, kiwalani,kigogo, vingunguti haya maeneo inatakiwa wauziwe watu wajenge vitega uchumi, Ili kubadili sura ya mji. Hayo maeno katikati ya mji yanatia aibu, ukiwa juu ya ndege ndo utajionea
View attachment 2547499
Judith Mhina ni mkurugenzi wa makampuni ya PMM 2001 ESTATES LTD ambayo yanamiliki utitiri wa majumba na majengo Msasani, Mikocheni, Oysterbay na Masaki.
Pia anamiliki eneo kubwa sana la bandari kavu Vingunguti Nyerere Road.
Mama huyu alitaka kununua Vingunguti yote na Buguruni Mnyamani ili aongeze eneo la bandari kavu yake. Tayari alikuwa ameshawalipa watu wengi tu, ndipo Magufuli akasimamisha zoezi hilo.
Aise kukaa kwingine mjini mateso yaani unamkuta mtu anatoka kwenye kajumba mpaka unasema kijijini kwetu haka hata choo hakafai maana tule tuvyumba kwetu kiangazi walikuwa wanajenga vijana vyakuchezea, bora kukaa nje ya mji hata ukalima mbogaBora Yule Baba Alivyokataa
Unajua Kuwatoa Watu Mjini Siyo Vema Kabisa
Mhina Aende Zamahelo Dodoma Mapori Ya Miiba Tele Ataka Awatie Jambajamba Walio Mjini
Kweli kabisaKukaa mjini bila hela nyumba mbovu kuna faida gani! Bora mtu achukue pesa akapasue pori huko uswekeni.
Ha ha ha nacheka kama mazuri ,vile bora nikae kwetu mkoani nilime hata viazi ndiyo maana wengine hataki kurudi hata makwao mikoani.Maji ya bati hili uangukia Bati la jirani
But why Zamaheloo ,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Bora Yule Baba Alivyokataa
Unajua Kuwatoa Watu Mjini Siyo Vema Kabisa
Mhina Aende Zamahelo Dodoma Mapori Ya Miiba Tele Ataka Awatie Jambajamba Walio Mjini
Tuacheeeee....na vingunguti yetu kaka tuacheeeee na manzese yetu na kigogo na buguruniMbona keshaanza kuinunua tena, bora wampe tu aviondoe vile vijumba vichafu vinachafua Mji.
Buguruni imekita mizizi ya ushirikina pale ni dampo thus haina maendeleo.
Buguruni, magomeni, manzese, kiwalani,kigogo, vingunguti haya maeneo inatakiwa wauziwe watu wajenge vitega uchumi, Ili kubadili sura ya mji. Hayo maeno katikati ya mji yanatia aibu, ukiwa juu ya ndege ndo utajionea
Watu walishaanza kumtwika zigo JPMyeye alikuwa mtu wa kati,wenyewe walikuwa wakorea,magu alisema waje wenyewe wafuate taratibu,sio wanapitia kwa mgongo wa mzawa.
ndio maana dili lilibuma,pia madalali walitaka 3% ya hela ambayo mwenye nyumba ungelipwa.
Wabongo jamani kweli haya mambo?Hekla za kimagumashi, watoto wote mataahira, mume kafa kifo tata
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna watu mikono yao inashika pesa. Na kuna watu mikono yao inaishia kushika ugoro.
Utatolewa kafara hakuna cha bure hapa dunianiHili lishangazi toeni koneksheni vijana wa ovyo walipandie hewani ,😆😆😆😆,linaonekana linamtonyo sio wa kawaida , mpaka linamiliki vitega uchumi kama bandari kavu na hizo real estates huo ni utajiri usio wa kitoto