Mjue Judith Mhina, mwanamama aliyetaka kuinunua Vingunguti na Buguruni Mnyamani kabla hajazuiwa na Hayati Magufuli

Mjue Judith Mhina, mwanamama aliyetaka kuinunua Vingunguti na Buguruni Mnyamani kabla hajazuiwa na Hayati Magufuli

Hawa ndio watu tunao wahitaji,masikini wanaharibu miji yetu,dsm ilitakiwa ijengwe majengo mazuri ya kisasa apartments za magorofa kisha watu waje wapange,sio kuruhusu ujenzi holela.
Alitaka kununua ili kuongeza wigo wa eneo lake la bandari kavu, sio kujenga apartments za maghorofa na majengo mazuri kama usemavyo wewe.
 
View attachment 2547499

Judith Mhina ni mkurugenzi wa makampuni ya PMM 2001 ESTATES LTD ambayo yanamiliki utitiri wa majumba na majengo Msasani, Mikocheni, Oysterbay na Masaki.

Pia anamiliki eneo kubwa sana la bandari kavu Vingunguti Nyerere Road.

Mama huyu alitaka kununua Vingunguti yote na Buguruni Mnyamani ili aongeze eneo la bandari kavu yake. Tayari alikuwa ameshawalipa watu wengi tu, ndipo Magufuli akasimamisha zoezi hilo.
jiwe alikuwa na shida kubwa sana sana. sometimes nahisi tungekuwa mbali sana bila yeye.
 
Mbona keshaanza kuinunua tena, bora wampe tu aviondoe vile vijumba vichafu vinachafua Mji.
Buguruni imekita mizizi ya ushirikina pale ni dampo thus haina maendeleo.
Buguruni, magomeni, manzese, kiwalani,kigogo, vingunguti haya maeneo inatakiwa wauziwe watu wajenge vitega uchumi, Ili kubadili sura ya mji. Hayo maeno katikati ya mji yanatia aibu, ukiwa juu ya ndege ndo utajionea
Ukiwa juu ya ndege ukiangalia chini , kwa kweli panatia aibu sana ,
 
View attachment 2547499

Judith Mhina ni mkurugenzi wa makampuni ya PMM 2001 ESTATES LTD ambayo yanamiliki utitiri wa majumba na majengo Msasani, Mikocheni, Oysterbay na Masaki.

Pia anamiliki eneo kubwa sana la bandari kavu Vingunguti Nyerere Road.

Mama huyu alitaka kununua Vingunguti yote na Buguruni Mnyamani ili aongeze eneo la bandari kavu yake. Tayari alikuwa ameshawalipa watu wengi tu, ndipo Magufuli akasimamisha zoezi hilo.

Jikono Jandama alikuwa na Roho Mbaya Sana.
 
Daahhh..pale kwetu wakipiga mahesabu 50m tukasema Bora tuuze treni letu ila daahhh ndo hvyo tenaa
Kumbe bi maza ndo huyu aseehh
 
Bora Yule Baba Alivyokataa
Unajua Kuwatoa Watu Mjini Siyo Vema Kabisa
Mhina Aende Zamahelo Dodoma Mapori Ya Miiba Tele Ataka Awatie Jambajamba Walio Mjini
Aise kukaa kwingine mjini mateso yaani unamkuta mtu anatoka kwenye kajumba mpaka unasema kijijini kwetu haka hata choo hakafai maana tule tuvyumba kwetu kiangazi walikuwa wanajenga vijana vyakuchezea, bora kukaa nje ya mji hata ukalima mboga
 
Mbona keshaanza kuinunua tena, bora wampe tu aviondoe vile vijumba vichafu vinachafua Mji.
Buguruni imekita mizizi ya ushirikina pale ni dampo thus haina maendeleo.
Buguruni, magomeni, manzese, kiwalani,kigogo, vingunguti haya maeneo inatakiwa wauziwe watu wajenge vitega uchumi, Ili kubadili sura ya mji. Hayo maeno katikati ya mji yanatia aibu, ukiwa juu ya ndege ndo utajionea
Tuacheeeee....na vingunguti yetu kaka tuacheeeee na manzese yetu na kigogo na buguruni
Hahahahahahahahah
 
yeye alikuwa mtu wa kati,wenyewe walikuwa wakorea,magu alisema waje wenyewe wafuate taratibu,sio wanapitia kwa mgongo wa mzawa.
ndio maana dili lilibuma,pia madalali walitaka 3% ya hela ambayo mwenye nyumba ungelipwa.
Watu walishaanza kumtwika zigo JPM
 
Mi nazani akija Dom ingekua vizuri zaidi kuweza kufanya mambo yake,japo lengo lake lilikua ni kutanua eneo la bandar sio mbaya
 
Back
Top Bottom