Mjue kwa undani nabii TB Joshua

Hata kanyari
angekuwa smart angemfikia huyu jamaa, ukiona kitabu kinatumika kirahisi kutapeli kitilie shaka, as a whole hakiwezi kutoka kwa Mungu.
 
Mtumishi wa mungu hauwezi ukamiliki ukwasi namna hiyo, auze mali zake awagaie wasiojieeza au atumie utajiri wake wote ajenge apartment kwa homeless kama alivyofanya Manny parciao.

Ni vigumu Tajiri kuingia ufalme wa mungu.
Haujawahi kuona misaada anayotoa?
 
Hivi huyu ci ndo aliwatabiria magufur na lowasa kuwa wote watashinda kisha akamtabiria clinton ushindi au sio huyu alieshindwa kutabir waliko wale madem wa chibouk na si ndo huyu alishindwa kutabir kanisa lake likadondoka likaua watu yy akiwa bonden au
 
Huwa namkubali sana huyu mchungaji japo sijaokoka
Yaani comment yako inaonesha ni jinsi gani ulivyo na akili nzuri. Hongera sana, utamwona Mungu akikupigania na utashuhudia ukuu wake kwenye maisha yako.

Kuokoka ni neema, huwezi kulazimisha ila kwa kuwa Mungu anaangalia moyo wa mtu, ipo siku utamtumikia Mungu na utazidi kuona maajabu yake katika maisha yako.

Sikatai kuwa wapo watumishi wa Mungu waliojituma wenyewe kwa maslahi yao...ila kama kweli mtu ameamua moyoni mwake kumtumikia Mungu wa kweli...Mungu hawezi kumridhia kuabudu mahali ambapo huyo Mungu wa kweli hayupo.
 
Tunajifunza mengi toka kwa TB.Joshua
Ni mfano wa kuigwa kwa watumishi wa Mungu.
Yeye pia ni mwanadamu hajakamilika katika ubinadamu wake.
Ndio maana anaendelea kumwomba Mungu azidi kumwongoza katika haki.

Man of God Pray for me.
 
waafrika ni wajinga sana kuamini eti alikuwepo mtu anaitwa yesu halafu eti ni mkombozi wao!!!!!!!!
 
Mkinitajia baba yake wa kiroho yaani kama aliokoka je ? ilitokana na injili ya nani.
 
waafrika ni wajinga sana kuamini eti alikuwepo mtu anaitwa yesu halafu eti ni mkombozi wao!!!!!!!!
Kama kuna Mwafrika anayesema mkombozi wake ni yesu inawezekana asiwe makini
Anayeaminiwa kuwa ni mkombozi wa watu anaitwa Yesu Kristo na sio yesu kama ulivyoeleza.
 
Mkuu unabii sio lazima utumie. Tatizo la manabii wa siku hizi wanatabiri vitu amabvyo havijengi mwili wa kristo. Mfano anatabiri mshindi wa mechi ya mpira wa miguu ss hapo unajiuliza what adds in the Christianity.
 
Hakika ni Mtumishi wa Mungu huyu jamaa ...

He's Annointed
Kwa neno gani. Nyinyi mnampima mtumishi kwa vigezo gani ? Kwangu mm ni muhubiri mwenye hila tuu. Mtu anayeuza bangili za baraka, sijui making Mara matunda kwangu mm ni another form of witch craft. Huwa nampima sio nabii tu bali yeyote anayesimama kuhuburi ni jinsi gani anahubiri watu waache dhambi. Sio kusema Isee a woman sijui kafanyaje...Pray.....
Huko scoan wanaenda wanasiasa na watu mashuhuri wanaingia na kutoka na dhambi zao ibada haigusi dhambi zao ni utabiri tuu.
 
Tunajifunza mengi toka kwa TB.Joshua
Ni mfano wa kuigwa kwa watumishi wa Mungu.
Yeye pia ni mwanadamu hajakamilika katika ubinadamu wake.
Ndio maana anaendelea kumwomba Mungu azidi kumwongoza katika haki.

Man of God Pray for me.
Nadhani hawa watu wansidia sana kutuliza dunia na kuleta Amani uimwengui kwa mahubiri yao. Jengo lilibomoka kabla ya kulitabiria. What a great anomaly, Wenye imanituendelee kuaimini na msioamini tutawaombea waamini. Lakini mbinguni utaingia ukiwa na imani bila kuhoji , mfano Mtoto mdogo akiambiwa haquestion kwa mini.? Wakati huohuo tunaambiwa tuzijaribu sana roho hizo kama kweli ni zinatoka kwa Mungu
.BWANA WETU ALISEMA TAJIRI KUINGIA KWENYE UFALME WA MBINGU NI RAHISI NGAMIA KUINGIA TUNDU LA SINDANO. LAKINI VIONGOZI WETU WANAJIFANANISHA NA MFALME SULEIMAN WA AGANO LA KALE. Naomba mfano Wa kiongozi katika mitume wake au baada take aliyetajirika kupitia Dino ,hayupo. MAANA TUNAAMBIWA MUMEPEWA HIZO KARAMA NANYI MTOE BURE. Sasa huu utajiri kwani gunaishi agano LA kale? Tuelimishane maana ELIMU tunsazidiana .Ingawa kwenda MBINGUNI sidhani ni kwa hekima na busra tulizolblikiza Bali ni kwa neema yake MUNGU.

Mtumishi wa mungu hauwezi ukamiliki ukwasi namna hiyo, auze mali zake awagaie wasiojieeza au atumie utajiri wake wote ajenge apartment kwa homeless kama alivyofanya Manny parciao.

Ni vigumu Tajiri kuingia ufalme wa mungu.

waafrika ni wajinga sana kuamini eti alikuwepo mtu anaitwa yesu halafu eti ni mkombozi wao!!!!!!!!
 
Mimi sijui na siamini kama unabii wake nikutoka kwa Mungu MKUU ila ninacho amini unabii wake 99% unaukweli,na ukifuatilia kwa makini alipotabiri ikawa sivyo basi panakuwa na ukakasi wakupindisha mambo .Mfano kwa Trump na hapo Bongo kwa EL
 
Mtumishi wa mungu hauwezi ukamiliki ukwasi namna hiyo, auze mali zake awagaie wasiojieeza au atumie utajiri wake wote ajenge apartment kwa homeless kama alivyofanya Manny parciao.

Ni vigumu Tajiri kuingia ufalme wa mungu.
Unataka awe masikini? Kwa hiyo watu wa Mungu ni masikini? Una uhakika hana mchango wowote kwa masikini? Na unajua utajiri wake kaupataje?
By the way anawatibu masikini na tajiri wote. Huo ni mchango mkubwa na unatosha sana.
 
Nilikuwa na aleji kali sana kichwani, hospital nilipima nikatumia dawa. Zaidi ya miaka mitatu bila mafanikio.

Mwaka Jana nikiwa Moshi nikafuatilia maombi yake Kwa TV. Nikashika penye tatizo. Kweli tokea hapo nimepona.

Huwezi amini. But it's true.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…