AMEN, AMEN, AMENNilikuwa na aleji kali sana kichwani, hospital nilipima nikatumia dawa. Zaidi ya miaka mitatu bila mafanikio.
Mwaka Jana nikiwa Moshi nikafuatilia maombi yake Kwa TV. Nikashika penye tatizo. Kweli tokea hapo nimepona.
Huwezi amini. But it's true.
aleji ndio nin?Nilikuwa na aleji kali sana kichwani, hospital nilipima nikatumia dawa. Zaidi ya miaka mitatu bila mafanikio.
Mwaka Jana nikiwa Moshi nikafuatilia maombi yake Kwa TV. Nikashika penye tatizo. Kweli tokea hapo nimepona.
Huwezi amini. But it's true.
acha uongoAMEN, AMEN, AMEN
Mimi naamini hilo as long as una Imani pia.
Mimi pia mwaka 2013 mwezi wa 7 pia nilipata muujiza mkubwa sana kupitia usomaji wa kitabu chake kidogo.
Pia nilipona kifua kilichonisumbua tangu utotoni katika semina ya Mwl. Mwakasege.
Mkuu hiyo video clip aliyotabiri hivyo unayo?Alitabiri Clinton ata shinda ikawa hola
mpaka leo namuonaga ana tuibia tu.
Ingekuwa hivyo basi ROMAN CATHOLIC (which is the richest organization in the world) au KKKT wasingekuwa na miradi ya kuingiza Pesa.Mtumishi wa mungu hauwezi ukamiliki ukwasi namna hiyo, auze mali zake awagaie wasiojieeza au atumie utajiri wake wote ajenge apartment kwa homeless kama alivyofanya Manny parciao.
Ni vigumu Tajiri kuingia ufalme wa mungu.
Kekereenkede...!acha uongo
Mimi sijui na siamini kama unabii wake nikutoka kwa Mungu MKUU ila ninacho amini unabii wake 99% unaukweli,na ukifuatilia kwa makini alipotabiri ikawa sivyo basi panakuwa na ukakasi wakupindisha mambo .Mfano kwa Trump na hapo Bongo kwa EL
Kuokoka kivipi?Mkinitajia baba yake wa kiroho yaani kama aliokoka je ? ilitokana na injili ya nani.
Alitabiri Clinton ata shinda ikawa hola
mpaka leo namuonaga ana tuibia tu.
Mkuu umasikini,ufukara na unyonge sio sifa njema kwetu sisi wanadamu labda kama wewe u mfuasi wa Ccm hapo sawa...Mtumishi wa mungu hauwezi ukamiliki ukwasi namna hiyo, auze mali zake awagaie wasiojieeza au atumie utajiri wake wote ajenge apartment kwa homeless kama alivyofanya Manny parciao.
Ni vigumu Tajiri kuingia ufalme wa mungu.
Mkombozi na Mwokozi ni Yesu Kristo.waafrika ni wajinga sana kuamini eti alikuwepo mtu anaitwa yesu halafu eti ni mkombozi wao!!!!!!!!
Clue less. Period!Mzushi huyu mie roho ilikuwa nzito nilipoona anamiliki private jet sijui helicopter, mpiga hela tu huyu sijawahi kushawishika na mambo yake as ""nabii"""
Kuokoka kivipi?
Wokovu unatoka kwa Yesu Kristu au kwa baba wa kiroho?
Huo wokovu wa baba wa kiroho unauaminije kuliko wa Kristo?
alianza uinjilisti tangu yuko primary na secondary ya kanisa..Mkinitajia baba yake wa kiroho yaani kama aliokoka je ? ilitokana na injili ya nani.
piya-- piaIla wafrica wanao amini kuwa muhamad ni mtume wa mungu nao ni wajinga piya!!!
aleji ndio nin?
Hajawahi kumtabiria El ushindi.Mkuu unayo clip ambayo alimtabiria EL ushindi? Nitashukuru kama utaiweka hapa
mi mwenyewe naonaga kama mambo yake ana otea otea tu hivi, ila mwache apige helaMzushi huyu mie roho ilikuwa nzito nilipoona anamiliki private jet sijui helicopter, mpiga hela tu huyu sijawahi kushawishika na mambo yake as ""nabii"""