Mjue Mastermind wa Al Shabaab

Mjue Mastermind wa Al Shabaab

We Unaonekana kabisa sio mzalendo yaani hauna tofauti na mabeberu.
Kama unabisha nyoosha kidole au Jifanye kama unajikuna.

Maendeleo hayana chama
Mimi nimemstukia huyo bibie mshabiki wa Alshababu.
 
Hakuna muisilamu wa leo atakayekubali Islamic Sharia labda kwa vitisho na mauwaji.
Wananchi kama wamepiga kura na kutaka utawala huo?nchi za UAE QATAR IRAN zinaendeshwa na sheria hizo sema kwa kua kule ni wafalme hakuna kupiga kura ndiyo maana unasema hivyo
 
We Unaonekana kabisa sio mzalendo yaani hauna tofauti na mabeberu.
Kama unabisha nyoosha kidole au Jifanye kama unajikuna.

Maendeleo hayana chama
acha zako wewe uzalendo haupimwi JF, nimegusa nini hadi uniambie mimi si mzalendo, nilikuwa nakutania na hiyo signature yako
 
Sio kweli Wakristo wangepigana na Wahindu.
Zama hizo Mungu alijidhihirisha kwa wahindu kwa kuwa jamii za Asia ndizo zilikuwa na akili sana enzi hizo kuliko jamii nyingine zote duniani
 
acha zako wewe uzalendo haupimwi JF, nimegusa nini hadi uniambie mimi si mzalendo, nilikuwa nakutania na hiyo signature yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kua mpole kijana naona ushaanza kulialia kwa kutaniwa tu kua wewe sio mzalendo.
Au umeogapa nlivyokwambia kua fanya kama unajikuna?
Nlikua nakutania tu mkuu usikasirike.

Maendeleo hayana chama
 
Najiulizaga weeee; hivi wanapataga nini kwa kuua watu hivyo!? Najiulizaga weeee, kwanini Waislamu wengi humu hua wanawaunga mkono!? Najiulizaga weee, hivi yale maneno ya Yesu kwamba, "mwivi (akiwa na maana ya shetani) haji ila kuua, kuchinja na kuharibu" hua yana maana ya hawa na dini yao? Ukweli sijawahi kupata JIBU kabisa. Mkristo ana hubiri hivi, "USIUE" wakati magaidi kwa jina la dini wana hubiri, "UENI kafiri". Huyu Mungu lazima sio mmoja kama tunavyo danganywa
 
Sio kweli Wakristo wangepigana na Wahindu.
No,mbona hawana migogoro yoyote hata kurushiana maneno,shida Ni uislamu tu,migogoro yote ya dini lazima muislamu awepo,nna video ya sheikh mmoja anawafundisha waislamu wenzake msikitini wawaue makafiri ili waione pepo, mafundisho Kama haya huwezi kuyapata kwenye dini nyingine yoyote isipokuwa Ni uislamu tu, waislamu wao ndo kila siku wapo kuandamana na kupigwa mabomu,umewahi kusikia walokole wameandamana au umewahi kusikia mapadri wamefungwa??? Kila siku mara masheikh wa uamsho, lakini huwezi kusikia mapadri wa uamsho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli Wakristo wangepigana na Wahindu.Wahindu wangelazimisha msile Nyama ya Ng'ombe halafu mumuabudu Ng'ombe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani we siku hizi unaakili mpaka hua nakushangaa.

Maendeleo hayana chama
 
No,mbona hawana migogoro yoyote hata kurushiana maneno,shida Ni uislamu tu,migogoro yote ya dini lazima muislamu awepo,nna video ya sheikh mmoja anawafundisha waislamu wenzake msikitini wawaue makafiri ili waione pepo, mafundisho Kama haya huwezi kuyapata kwenye dini nyingine yoyote isipokuwa Ni uislamu tu, waislamu wao ndo kila siku wapo kuandamana na kupigwa mabomu,umewahi kusikia walokole wameandamana au umewahi kusikia mapadri wamefungwa??? Kila siku mara masheikh wa uamsho, lakini huwezi kusikia mapadri wa uamsho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu kuna muda TZ ilikuwa tupeleke majeshi Somalia. Hahahaha
 
No,mbona hawana migogoro yoyote hata kurushiana maneno,shida Ni uislamu tu,migogoro yote ya dini lazima muislamu awepo,nna video ya sheikh mmoja anawafundisha waislamu wenzake msikitini wawaue makafiri ili waione pepo, mafundisho Kama haya huwezi kuyapata kwenye dini nyingine yoyote isipokuwa Ni uislamu tu, waislamu wao ndo kila siku wapo kuandamana na kupigwa mabomu,umewahi kusikia walokole wameandamana au umewahi kusikia mapadri wamefungwa??? Kila siku mara masheikh wa uamsho, lakini huwezi kusikia mapadri wa uamsho

Sent using Jamii Forums mobile app

Pablo Blanco unaweza kuuwawa kwa kula mshikaki siku za usoni.
 
Inasemekana hotel ni ya mwisrael na Alshabab inapingina na kite ndo cha Trump kukabidhi Jerusalem kwa Israel

Hivyo huo ni mwanzo tu
Kwa hio Hornet na wewe unaunga mkono juhudi?

Maendeleo hayana chama
 
Back
Top Bottom