kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,175
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waooh! Never marriedJina: Peter mollel gumbo
Sex:Male
Age:42
Education:form 4
Marital status: Never married
Occupation: carpenter man
Height: Short below the mean
Interests: Comedian
Wengine waongezee
Sent using Jamii Forums mobile app
Liquid pub Kurasini.Wakuu favorite bar/club yake ya kupiga vitu vya kinyamwezi ni wapii???
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina uhakika kama inaitwa "sir name"THOSE ARE NOT HIS NAMES
GUMBO IS NOT HIS NAME ...Gumbo is the Sir name of LIQUID PUB OWNER JANE AND LILLY WHO ARE SISTERS THE PUB IS OPP T.I.A KURASINI ON PORT ACCESS ROAD....he is just good and funny guy ...runs a carpentry shop at KEKO at the JUNCTION TO KEKO PRISON.....MUNGU KAAMUA KUMPA HASA BAADA YA MKUU WA MKOA WA DSM KUMTUKANA WAKATI WA FUND RAISING YA TOKOMEZA ZERO.....Jokate ...MALIMANI CITY
Maji ya kunde ndyo mdudu gani?
Mkuu kunywa chai kwanza taifa hili tulilomo fundi kakimbia na fito vibarua wanaiba tu tofali na cenent alikuambia nani taifa linajengwa?? kwa viongozi wapi?? Piere atabaki kuwa juu kileleni usituletee pumba hapa.Sijawahi kuwa shabiki Wa mhe. Makonda lakini kuponda tabia ya ovyo kama ulevi namsupport. Hivi tushabikie ulevi halafu tutajenga taifa la aina gani ? Congo walishabikia muziki angalia Leo taifa lao likoje. Taifa linajengwa na watu sober wanaotulia na kukuna ubongo , sio kushangilia na kushabikia tabia za ovyo kama ulevi na mambo megine ya kipuuzi . Makonda nakusifu kwa hill ingawa wapuuzi watakushambulia lakini umetimiza wajibu Wa kukemea upuuzi .Konki mlevi 42 years hana mke wala Mtoto , ndio awe shujaa Wa taifa hili ? Role model Wa vijana wetu. ? Tusipotoke kama taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama waandishi wa habari wanakatazwa kuhoji wabunge...kwa nini wasituletee vitu vya kutoa stressSijawahi kuwa shabiki Wa mhe. Makonda lakini kuponda tabia ya ovyo kama ulevi namsupport. Hivi tushabikie ulevi halafu tutajenga taifa la aina gani ? Congo walishabikia muziki angalia Leo taifa lao likoje. Taifa linajengwa na watu sober wanaotulia na kukuna ubongo , sio kushangilia na kushabikia tabia za ovyo kama ulevi na mambo megine ya kipuuzi . Makonda nakusifu kwa hill ingawa wapuuzi watakushambulia lakini umetimiza wajibu Wa kukemea upuuzi .Konki mlevi 42 years hana mke wala Mtoto , ndio awe shujaa Wa taifa hili ? Role model Wa vijana wetu. ? Tusipotoke kama taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Congo imeharibiwa na Mziki au vita?Sijawahi kuwa shabiki Wa mhe. Makonda lakini kuponda tabia ya ovyo kama ulevi namsupport. Hivi tushabikie ulevi halafu tutajenga taifa la aina gani ? Congo walishabikia muziki angalia Leo taifa lao likoje. Taifa linajengwa na watu sober wanaotulia na kukuna ubongo , sio kushangilia na kushabikia tabia za ovyo kama ulevi na mambo megine ya kipuuzi . Makonda nakusifu kwa hill ingawa wapuuzi watakushambulia lakini umetimiza wajibu Wa kukemea upuuzi .Konki mlevi 42 years hana mke wala Mtoto , ndio awe shujaa Wa taifa hili ? Role model Wa vijana wetu. ? Tusipotoke kama taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
KumbeGuyz pierre sio carpenter na wala hana showroom ya kuuza furniture ni dalali tu but ni maarufu ata keko yote tunamjua.