Mjue Peter Mollel Gumbo aka Pierre Konki Mzee wa Liquid ambaye wengi hawafahamu vizuri

THOSE ARE NOT HIS NAMES
GUMBO IS NOT HIS NAME ...Gumbo is the Sir name of LIQUID PUB OWNER JANE AND LILLY WHO ARE SISTERS THE PUB IS OPP T.I.A KURASINI ON PORT ACCESS ROAD....he is just good and funny guy ...runs a carpentry shop at KEKO at the JUNCTION TO KEKO PRISON.....MUNGU KAAMUA KUMPA HASA BAADA YA MKUU WA MKOA WA DSM KUMTUKANA WAKATI WA FUND RAISING YA TOKOMEZA ZERO.....Jokate ...MALIMANI CITY
Sina uhakika kama inaitwa "sir name"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima ya chuo inaaribiwa na waliosoma hapo kutojua kuwa wahasibu kutumia neno weakness katika kazi zao ni utaratibu sahihi ambao upo katika IFRS ambao wasomi wa hapo hawajui...Mngepata bahati ya kusoma UNISA au Stellenbosch university ukutane na watu genius mpaka kazini sijui ungesemaje hapo kimezalisha matakataka kibao tuu yanaangamiza Taifa...
 
Sijawahi kuwa shabiki Wa mhe. Makonda lakini kuponda tabia ya ovyo kama ulevi namsupport. Hivi tushabikie ulevi halafu tutajenga taifa la aina gani ? Congo walishabikia muziki angalia Leo taifa lao likoje. Taifa linajengwa na watu sober wanaotulia na kukuna ubongo , sio kushangilia na kushabikia tabia za ovyo kama ulevi na mambo megine ya kipuuzi . Makonda nakusifu kwa hill ingawa wapuuzi watakushambulia lakini umetimiza wajibu Wa kukemea upuuzi .Konki mlevi 42 years hana mke wala Mtoto , ndio awe shujaa Wa taifa hili ? Role model Wa vijana wetu. ? Tusipotoke kama taifa.

Mkuu kunywa chai kwanza taifa hili tulilomo fundi kakimbia na fito vibarua wanaiba tu tofali na cenent alikuambia nani taifa linajengwa?? kwa viongozi wapi?? Piere atabaki kuwa juu kileleni usituletee pumba hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K
1062959
H
 
Sijawahi kuwa shabiki Wa mhe. Makonda lakini kuponda tabia ya ovyo kama ulevi namsupport. Hivi tushabikie ulevi halafu tutajenga taifa la aina gani ? Congo walishabikia muziki angalia Leo taifa lao likoje. Taifa linajengwa na watu sober wanaotulia na kukuna ubongo , sio kushangilia na kushabikia tabia za ovyo kama ulevi na mambo megine ya kipuuzi . Makonda nakusifu kwa hill ingawa wapuuzi watakushambulia lakini umetimiza wajibu Wa kukemea upuuzi .Konki mlevi 42 years hana mke wala Mtoto , ndio awe shujaa Wa taifa hili ? Role model Wa vijana wetu. ? Tusipotoke kama taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama waandishi wa habari wanakatazwa kuhoji wabunge...kwa nini wasituletee vitu vya kutoa stress

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kuwa shabiki Wa mhe. Makonda lakini kuponda tabia ya ovyo kama ulevi namsupport. Hivi tushabikie ulevi halafu tutajenga taifa la aina gani ? Congo walishabikia muziki angalia Leo taifa lao likoje. Taifa linajengwa na watu sober wanaotulia na kukuna ubongo , sio kushangilia na kushabikia tabia za ovyo kama ulevi na mambo megine ya kipuuzi . Makonda nakusifu kwa hill ingawa wapuuzi watakushambulia lakini umetimiza wajibu Wa kukemea upuuzi .Konki mlevi 42 years hana mke wala Mtoto , ndio awe shujaa Wa taifa hili ? Role model Wa vijana wetu. ? Tusipotoke kama taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Congo imeharibiwa na Mziki au vita?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom