Mjue Peter Mollel Gumbo aka Pierre Konki Mzee wa Liquid ambaye wengi hawafahamu vizuri

Mjue Peter Mollel Gumbo aka Pierre Konki Mzee wa Liquid ambaye wengi hawafahamu vizuri

Ana mchango kwani anakukumbusha sio lazima uajiriwe ulipwe laki tatu wakati unaweza kujiajiri ukapata zaidi ya hizo Kwa kutumia kipaji chako , fire waist fire waist fire waist , it's Okey Okey
Ange Inspire watu kupitia kazi yake ya kutengeneza FURNITURE hiii inge make sense lakini yeye katumia kipaji cha Gambe AKA Liquid kuwa ndio sababu ya Umaarufu wake alafu mpaka sasa bado Bachelor ( 42 ) kweli huyu ndio wa kuigwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu huyo piere ana bahati sna muacheni atusue tu alishaanguka na ghorofa keko kutoka ghorofa ya 5 kashuka nalo mpaka chini na hakuchunika hotel ilikuwa inaitwa chang'ombe village wala hajaruka alikuwa floor ya juu kabisa.
Don't tell me,boss!That much of height!?
 
Dah...eti halafu akaja kuruka kutoka juu ya meza tu akavunjika mguu....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Eti huyo naye 'celebrity'. Tanzania tunapenda kutoa coverage kwa vitu vya kupuuzi kweli.
Si ni bora huyu mara milioni moja kuliko hao wadangaji wanaopewa umaarufu huku hawana walichokifanya. Huyu angalau ni comedian japo si wa viwango. Watu kama Wema wana nini walichofanya?
 
Ni wakati wake huu. Azikusanye kwa nguvu zote.
 
Ujinga ujinga na upuuzi upuuzi siku hizi ni chanzo kikubwa sana cha mapato bongo
 
Halafu huyo piere ana bahati sna muacheni atusue tu alishaanguka na ghorofa keko kutoka ghorofa ya 5 kashuka nalo mpaka chini na hakuchunika hotel ilikuwa inaitwa chang'ombe village wala hajaruka alikuwa floor ya juu kabisa.
Ni kibogoyo pia mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom