As Salafiyyu91
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 2,537
- 2,538
Ange Inspire watu kupitia kazi yake ya kutengeneza FURNITURE hiii inge make sense lakini yeye katumia kipaji cha Gambe AKA Liquid kuwa ndio sababu ya Umaarufu wake alafu mpaka sasa bado Bachelor ( 42 ) kweli huyu ndio wa kuigwaAna mchango kwani anakukumbusha sio lazima uajiriwe ulipwe laki tatu wakati unaweza kujiajiri ukapata zaidi ya hizo Kwa kutumia kipaji chako , fire waist fire waist fire waist , it's Okey Okey
Don't tell me,boss!That much of height!?Halafu huyo piere ana bahati sna muacheni atusue tu alishaanguka na ghorofa keko kutoka ghorofa ya 5 kashuka nalo mpaka chini na hakuchunika hotel ilikuwa inaitwa chang'ombe village wala hajaruka alikuwa floor ya juu kabisa.
Tutakuja kumsaka na tochi.Unamkumbuka Dr. Shika? Huyu naye atapotea muda si mrefu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dah...eti halafu akaja kuruka kutoka juu ya meza tu akavunjika mguu....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Beretta ARX 160
Ila hapo kwamba kila akialikwa analiowa Mil 3 arudie hesabu yake vizuri.
acha upuuzi wewe,hivi umesahau ile ya githeri Man Kenya akapata mashavu ya maana? ile nayo ni Tanzania?Eti huyo naye 'celebrity'. Tanzania tunapenda kutoa coverage kwa vitu vya kupuuzi kweli.
Si ni bora huyu mara milioni moja kuliko hao wadangaji wanaopewa umaarufu huku hawana walichokifanya. Huyu angalau ni comedian japo si wa viwango. Watu kama Wema wana nini walichofanya?Eti huyo naye 'celebrity'. Tanzania tunapenda kutoa coverage kwa vitu vya kupuuzi kweli.
AiseeeeeFala wewe wewe unajua Nini marioo wewe wivu was kingese unaleta jf utakuwa na genes za kike ngoja tukutafutie kungwi ufundwe mamaae zako
Huyo Mlevi ana kipaji gani?Kipaji ni mtaji mzuri kupita elimu. David Beckham hana degree lakini umaarufu wake ni zaidi ya Theresa May
Kwani deadline ni miaka mingapi?Hataki kuoa kwa kukurupuka asije akajuta badae..
Hyo badae ni ipi? yan @42 still kuna badae
Sent using iPhone XS Max
Ni kibogoyo pia mkuu?Halafu huyo piere ana bahati sna muacheni atusue tu alishaanguka na ghorofa keko kutoka ghorofa ya 5 kashuka nalo mpaka chini na hakuchunika hotel ilikuwa inaitwa chang'ombe village wala hajaruka alikuwa floor ya juu kabisa.