Mjue Peter Mollel Gumbo aka Pierre Konki Mzee wa Liquid ambaye wengi hawafahamu vizuri

Mjue Peter Mollel Gumbo aka Pierre Konki Mzee wa Liquid ambaye wengi hawafahamu vizuri

Jina: Peter mollel gumbo
Sex:Male
Age:42
Education:form 4
Marital status: Never married
Tribe:Mmeru
Region:Arusha-Tanzania
Occupation: carpenter man
Height: Short below the mean
Interests: Comedian

Conflicts: Conflict with bashite concerning public reputation/Media promotion about his stupid issue of drinking alcohol too much.


Wengine waongezee

Sent using Jamii Forums mobile app
Peter Mollel, anaweza kuwa Mwarusha hakuna Mmeru mwenye jina Mollel
 
Sijawahi kuwa shabiki Wa mhe. Makonda lakini kuponda tabia ya ovyo kama ulevi namsupport. Hivi tushabikie ulevi halafu tutajenga taifa la aina gani ? Congo walishabikia muziki angalia Leo taifa lao likoje. Taifa linajengwa na watu sober wanaotulia na kukuna ubongo , sio kushangilia na kushabikia tabia za ovyo kama ulevi na mambo megine ya kipuuzi . Makonda nakusifu kwa hill ingawa wapuuzi watakushambulia lakini umetimiza wajibu Wa kukemea upuuzi .Konki mlevi 42 years hana mke wala Mtoto , ndio awe shujaa Wa taifa hili ? Role model Wa vijana wetu. ? Tusipotoke kama taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Congo matatizo yao yanasababishwa na Taifa la marekani lina migodi yake kule wanachimba madini ya kutengenezea simu na nyukria na madini mengine mengi marekani ana i destablelize congo ili aendelee kuiba na kwa taarifa yako PIERE alipata division 3 form four TOKOMEZA ZERO
 
Mr. Zero alifikiri wanamtokomeza yeye.

Mr. Zero alifikiri wanamtokomeza yeye.
Asante kwa kunikumbusha ,kumbe ndo maana Bashite alikuwa anafoka vile, Jokate hakumaanishe kumtokomeza yeye aliposema ana kampeni ya kutokomeza zero na alieleza vizuri tu kwa wale tuliokuwepo. Duuh asante kwa kunifunua mawazo. sasa bifu lake na liquid limeisha kwa liquid kupanda ndege kwenda kuishangilia Taifa stars. Liquid juu juu juu juu zaidi, wale tunaokabidhiwa daladala tuziongoze bila leseni wala vyeti chini chini chini zaidi
 
Cv ya nini
Ushaambiwa yeye ni mzee wa gambe na siku hizi hapatikani kirahisi pale liquid kutokana na ratiba kumbana na mialiko kedekede.
 
Jina: Peter mollel gumbo
Sex:Male
Age:42
Education:form 4
Marital status: Never married
Tribe:Mmeru
Region:Arusha-Tanzania
Occupation: carpenter man
Height: Short below the mean
Interests: Comedian

Conflicts: Conflict with bashite concerning public reputation/Media promotion about his stupid issue of drinking alcohol too much.


Wengine waongezee

Sent using Jamii Forums mobile app
Main slogans; Chiiii ......,everybody say yeeaah....,hatabaki kuwa juuu .......,ramba lolo and more

Official ambassador;viatel company(halotel)..

|ChatBot[emoji880]✓|[emoji769]
 
Back
Top Bottom