BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,950
- 11,295
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Possible, maana anaitwa Peter Mollel
Peter Mollel, anaweza kuwa Mwarusha hakuna Mmeru mwenye jina MollelJina: Peter mollel gumbo
Sex:Male
Age:42
Education:form 4
Marital status: Never married
Tribe:Mmeru
Region:Arusha-Tanzania
Occupation: carpenter man
Height: Short below the mean
Interests: Comedian
Conflicts: Conflict with bashite concerning public reputation/Media promotion about his stupid issue of drinking alcohol too much.
Wengine waongezee
Sent using Jamii Forums mobile app
LIQUID kurasini kule mkuu njia kama unaenda daraja la kigamboni nasikia usiku kuna happen sanaWakuu favorite bar/club yake ya kupiga vitu vya kinyamwezi ni wapii???
Sent using Jamii Forums mobile app
Congo matatizo yao yanasababishwa na Taifa la marekani lina migodi yake kule wanachimba madini ya kutengenezea simu na nyukria na madini mengine mengi marekani ana i destablelize congo ili aendelee kuiba na kwa taarifa yako PIERE alipata division 3 form four TOKOMEZA ZEROSijawahi kuwa shabiki Wa mhe. Makonda lakini kuponda tabia ya ovyo kama ulevi namsupport. Hivi tushabikie ulevi halafu tutajenga taifa la aina gani ? Congo walishabikia muziki angalia Leo taifa lao likoje. Taifa linajengwa na watu sober wanaotulia na kukuna ubongo , sio kushangilia na kushabikia tabia za ovyo kama ulevi na mambo megine ya kipuuzi . Makonda nakusifu kwa hill ingawa wapuuzi watakushambulia lakini umetimiza wajibu Wa kukemea upuuzi .Konki mlevi 42 years hana mke wala Mtoto , ndio awe shujaa Wa taifa hili ? Role model Wa vijana wetu. ? Tusipotoke kama taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana nasikia wale wadada wenye ile bar ni marafiki zake tu ila mkuu tukalibie siku moja nasikia kuna pini hapo balaaa misabwanda kama yotee
Mr. Zero alifikiri wanamtokomeza yeye.
Asante kwa kunikumbusha ,kumbe ndo maana Bashite alikuwa anafoka vile, Jokate hakumaanishe kumtokomeza yeye aliposema ana kampeni ya kutokomeza zero na alieleza vizuri tu kwa wale tuliokuwepo. Duuh asante kwa kunifunua mawazo. sasa bifu lake na liquid limeisha kwa liquid kupanda ndege kwenda kuishangilia Taifa stars. Liquid juu juu juu juu zaidi, wale tunaokabidhiwa daladala tuziongoze bila leseni wala vyeti chini chini chini zaidiMr. Zero alifikiri wanamtokomeza yeye.
Main slogans; Chiiii ......,everybody say yeeaah....,hatabaki kuwa juuu .......,ramba lolo and moreJina: Peter mollel gumbo
Sex:Male
Age:42
Education:form 4
Marital status: Never married
Tribe:Mmeru
Region:Arusha-Tanzania
Occupation: carpenter man
Height: Short below the mean
Interests: Comedian
Conflicts: Conflict with bashite concerning public reputation/Media promotion about his stupid issue of drinking alcohol too much.
Wengine waongezee
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia Dr Shika anataka kumuajili katika makampuni yake TanzuNadhani kwenye Interest ni Drunker, na ndo kilichomtoa
Kuna ma-drunker wangapi tena kuliko yeye na ''hawajatoka''?Nadhani kwenye Interest ni Drunker, na ndo kilichomtoa
Liquid ni bar yake au?Cv ya nini
Ushaambiwa yeye ni mzee wa gambe na siku hizi hapatikani kirahisi pale liquid kutokana na ratiba kumbana na mialiko kedekede.