Mjue Saddam Hussein wa Zaire

Huyo wamba dia sijawahi msikia lakini unaeza dondosha nondo kumuhusu

Afu vipi jamaa anasemaje kuhusu watoto wa kongolu wako wapi ?
Wamba dia wamba
Wamba alikua ni Prof UDSM ila alikua mpinzani wa Mobutu, yeye na Kabila walipewa hifadhi hapa
Bado yuko dar ,maeneo ya mikocheni b
Ooh. Kabila hakumpa cheo chochote ?
Alihusika kuandaa katiba ya nchi
Aliendelea kuwa mpinzani aliongoza kundi la waasi la RCD kipindi cha Kabila
Kundi lake lilijiunga na Jeshi la serikali
 
Jose Kongolo FBI ndio huyo Sadame husene?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…