Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Amefanana na wewe namna ya upigaji?Kidogo afananie na mimi sema mimi sifanyi kazi benki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amefanana na wewe namna ya upigaji?Kidogo afananie na mimi sema mimi sifanyi kazi benki.
Nakubaliana na wewe kabisa madam, shida ni kupenda shortcuts, dunia hii mtu ajitokeze tu akupe mchongo kama huo haushtuki?? Au kwao yeye hana ndugu au watu wa karibu wenye uhitaji wa namna hiyo, that's so ridiculous 😤Mkuu hawa vijana wanasikitisha sana.
Kibaya zaidi wameenda shule.
Mda huu nipo sokoni hapa vijana na wazee hawalali wanapiga kazi hasa.
Wamama pia wanakoleza majiko wapike vitafunio chai na uji.
Cha ajabu sisi vijana tena wasomi hatutaki fanya kazi na kuamua kujiajiri kwenye utapeli.
Sema acha wapigwe tu, ndio kutegemeana kimaisha hivyo, wasingekuwepo hao kuna watu mjini wasingeenda chooni.Wanakeraaa
Kilimo si lelemama kama hauna mtaji.Shauri wakalime na siyo kuchoma maandazi na chapati. Kilimo pekee ndiyo suluhisho la umasikini kwa vijana. Ardhi tunayo kubwa na mahotaji ya chakula ktk hii Kanda bafo yapo juu
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Bado sana kaka,tumeamua kubadilisha uelekeo ili tusurvive tu 😃Kwema kaka! Huko kwako mambo yetu yale yashaanza kusoma, au bado sana.
Of course issue ni tight 2021/22 utarudi kwa nguvu sanaBado sana kaka,tumeamua kubadilisha uelekeo ili tusurvive tu 😃
kabisa mkuu, tumejipa muda kwaajili ya great come back ✊🏻✊🏻Of course issue ni tight 2021/22 utarudi kwa nguvu sana
Pamoja kakakabisa mkuu, tumejipa muda kwaajili ya great come back ✊🏻✊🏻
Acha tu, mi mwenyewe alinikamatia hapo tu na tamaa zangu za kijinga kupenda virahisi pasipo kutumia nguvuNimemcheki fb nimeona nashea na marafiki zangu 23, (mutual friends)wa4 kati Yao Ni product ya Lindi Boys Kama alivyoeleza kwenye wasifu wake kuwa amesoma Lindi Boys. Ngoja nimcall mutual friend mmoja nimdadisi. Mana na mimi kwa umbea nipo vizuri.
Uwezekano mkubwa kabisa siyo picha yake na hata jina siyo la tapeli. Formula ni zile zile: 1. Ukiitiwa fursa basi wewe ndiye fursa ya kuneemesha wengine! 2. Usimpe/usimtumie mtu yoyote fedha bila kumjua kwa undani kabisa.Uvivu, Kupenda kitonga, kutoshughulisha akili ndio chanzo cha kutapeliwa..
Ila Mkuu una uhakika hio picha ni yake?
Matapeli wengi wa mtandao hawatumii picha zao.
Kama huyu kweli ni tapeli hivyo na katumia picha yaka na/au jina lake halisi....
Naye akili zake hazitofautiani na hao anaowatapeli.
Ni pwagu na pwaguzi....
Ni kweli kabisa na mimi pia naamini hivyo. Na ndio maana aliponiletea habari za eti job insurance nikajua nimeingia mtegoni. Ila elfu 27 niliyomtumia aliila kwa hoja kuwa ni lazma a certify vyeti pia atume nakala moja kwa njia ya EMS vitu ambavyo sikutilia shaka kabisaaaa maana ni kawaidaNimemcheki fb nna mutual friend mmoja na yeye kiukweli sijawahi kutapeliwa na MTU yoyote though kwenye harakati za kuomba kazi nimeshakutana na matapeli wengi sana good lucky najua kuwa kazi yoyote professional huwezi kuombwa hela yoyote ile ukishaaply unasubiri interview tu so ukitapeliwa umetaka kutapeliwa