Mjue the world president under freemasonry and illuminati to supress the third eye of human being

Mjue the world president under freemasonry and illuminati to supress the third eye of human being

Kama zilivyo za kwako...
Kama alichoandika ni upuuzi weka hoja za kupinga na sio kutoa povu kwa kila post unayoona...
Hoja hujibiwa kwa hoja ndugu... Hapo sijaona hoja zaidi ya viroja na uzushi uliojaa copy n paste za google ...
 
Ni watu wenye akili tope kama zako... U can't think of your own... Kuna watu wako mahali wanawaza kwa niaba yako...
Sasa nyie wenye uwezo wa kufikri mbona mnatuletea takataka za google hapa..?? Wewe nini haswa ukichoweza kufikiri kwa akili yako kama si copy and paste..
 
Sasa nyie wenye uwezo wa kufikri mbona mnatuletea takataka za google hapa..?? Wewe nini haswa ukichoweza kufikiri kwa akili yako kama si copy and paste..
Bora hata mimi ninayo ya copy and paste... Yako hata kulenga tundu la choo ni tatizo...
 
Kuna Audio ninayo ya Mchungaji mmoja wa Nigeria alipata neema alikufa na kwenda mbinguni pamoja na kuzimu na kuona hali ilivyokule. (audio iko in swahili language). Kule anakutana na Bwana Yesu, Maria mama wa Yesu, Ibrahim, Malaika n.k Pia anakutana na watumishi wa Mungu aliekua anawajua duniani wengine alishiriki mazishi yao anashangaa kuwakuta kuzimu. Ukiisikiliza itakubadilisha sana na kukupa taswira kubwa zaidi kuhusu maisha baada ya kifo. Kwa yoyote ambae atapenda nimtumie kwa njia ya Whatsapp anicheki 0714883861 nitatuma.
Why don't u send here???
 
prophat muhhamad(saw) ktk koran ameambiwa mara nyingi wewe ni mwonyaji tu kazi yako ni kufukisha ujumbe tu kwa wanadamu lkn hawezi kuongoa mtu ana haki ya kuchagua njia mara baada ya kupata elimu ya vitabu yan koran,torati,zaburi,na injili ipi ni sahihi na ipi si sahihi.kinacho nishangaza kuona walipewa kitabu yaani wahayudi na wakiristu wanasema yesu/nabii issa a.s amekuja kuokoa dunia sasa najiuliza ameokoa nini wakati ndo kwanza maa'si yameongezeka na uvunjifu wa duniani umeongezeka zaidi?je huyo yesu alikufa wakati kazi ya kuokoa ulimwengu ilimshinda.kama yesu yeye ndio kaanzisha ukiristu na kawachia viongozi wake mbona hao ndio wanaosimamia ushetani.jamani dini ya haki ni uislam tu nyingine ni porojo za wanadamu
Maovu yapo tangu mwanzo wa ulimwengu
 
dini ni mfumo wa maisha wa mwanadamu.lakin dini ya uislamu ni mfumo wa maisha wa kuabudu mungu mmoja kuamini malaika mitume vitabu na siku ya mwisho(kiyama)islam means enye kunyenyeke kwa allah s.a
 
Wachache watakuelewa..nini unamaanisha...ila its my prayer watu wakuelewe unamaanisha nini mkuu_coz una hoja nzito sana.

Nieleweshe.......halafu unisamaraizie.......hasa hapo black pope Adolfo Nicolas.........
 
Mweee me nishachokaga na haya mambo.... Hivi inawezekanaje siri itangazwe kiasi hiki... issues za freemasons miaka 20 iliyopita ndo zlianza kusambaa taratibu na mpaka sasa imeenea kote... hawa jamaa wanaweza wakawa wameruhusu kwa makysud kujua hiv vitu na dhumun lao your subconcious mind ipokee taarifa hizo ili wakianza ku implement mambo yao watu waone kawaida...
"Freemasons inside out" stories zote zimepikwa...
Aliyekutangulia amekutangulia tuu....
 
Thread nzuri iliyokaa kimlengo wa kidini sio kutoa maarifa kwa umma
 
prophat muhhamad(saw) ktk koran ameambiwa mara nyingi wewe ni mwonyaji tu kazi yako ni kufukisha ujumbe tu kwa wanadamu lkn hawezi kuongoa mtu ana haki ya kuchagua njia mara baada ya kupata elimu ya vitabu yan koran,torati,zaburi,na injili ipi ni sahihi na ipi si sahihi.kinacho nishangaza kuona walipewa kitabu yaani wahayudi na wakiristu wanasema yesu/nabii issa a.s amekuja kuokoa dunia sasa najiuliza ameokoa nini wakati ndo kwanza maa'si yameongezeka na uvunjifu wa duniani umeongezeka zaidi?je huyo yesu alikufa wakati kazi ya kuokoa ulimwengu ilimshinda.kama yesu yeye ndio kaanzisha ukiristu na kawachia viongozi wake mbona hao ndio wanaosimamia ushetani.jamani dini ya haki ni uislam tu nyingine ni porojo za wanadamu
Hivi unajua aliyemteremshia hiyo koran yenyewe huyo mtume?
 
Kama mambo ndo haya basi hakuna haja ya kuamshana eti twende kanisani naamini imani yako ndo ngao ya yote haya Mungu aingilie kati
 
Hapana jamaa ypo sahihi sana maana hta kabla ya uchaguz nilisikia hvyohvyo mm kwmba yy hawez shnda kwsabab cyo roman Catholic na ndyo sabab alinyimwa nafac ple ccm
Hahaa ... Kweli nimeamini huu msemo upo sahihi "Common sense is not so common...."
Kwa hivyo unataka kutuaminisha kwamba marais waislam waliopita (Mwinyi na Kikwete) walikuwa wakatoliki ndio maana walipita kwa kusaidiwa na hao Jesuit Fathers? au Tuseme kwa lugha nyepesi walikuwa wateule wa Kanisa Katoliki chini ya huyo Black Pope? Tanzania tunahitaji Elimu kwanza kabla ya yote vinginevyo hatutapata maendeleo hata rais wetu atoke Kanisa la Kiprotestant au katoliki au mpagani au Islam. Sio kila kitu lazima uchangie vingine unanyamaza kuficha udhaifu wako wa kufikiri. Stop believing in nonsense, more less a conspiracy theory.
 
Back
Top Bottom