Ndugu yangu, Kenzy mfalme wa dunia hii ni shetani na amepewa mamlaka naMUNGU aitawale ,na pia wanadamu wamepewa option ya nani wakumtumikia kati ya MUNGU ama shetani. Mungu hajashindwa kuvuruga mipango ya shetani ya kuitawala dunia japo amewapa wanadamu wanao mwamini Mungu mamlaka ya kumshinda shetani na vishawishi vyake.
Sent from my iPad using JamiiForums
Jamaaaaa..una akili snaa...mungu mwenyew anatambua kuwa shetan ndio mtawala wa hii dunia hata pale mungu akasema...he is the prince of thy world..ndio mana hata pale yesu akafunga jangwani zike siku 40 shetan alimjia akamwambia kama ukinisujudu hakika nitakupa mali na thawabu kubwa za hapa duniani...yan pale inadhihilisha kabsa kuwa hata yesu mwenyew alilitambua hilo..
Halafu leo hii mtu hujui kinachoendelea unasema mambo ya kizushi cjui wanakopy google..daaaaah..pole sana ndg..nataman kukutafta nikupe hata mengine mazito juu ya utawala huu wa pembe ndogo (rumi) juu ya dunia hii..
Kwa mfano unaweza ukanipa mana halis tukachambua unabiii wa kitabu cha ufunuo kinachozungumza mambo hayo ..??
Kama upo tayr niambie tuanzishe thred hapo chini tueleweshane juu ya unabii unaozungumzwa na maana yake....
"
""Na tazama nikamwona mnyama akitoka katika bahari..
""Na tazama nikamwona mnyama mwingine akitoka katika bahari..
Hivi unaelewa juu ya hayo maneno hayo na umaana wake au unaendeleza kubisha kisa umeonekana huna point kazibkubisha tu..bila shaka wew utakuwa katekista wa kanisa katoriki au utakuwa frateli...daaaah...
Tatizo biblia hiyo hiyo hamuisom mkapewa au kujua ujumbe mzito uliomo ndani kazi kwenda kanisani na misale ya waaumini et mwongozo wa ibada badala ya kubeba biblia ..
Unajua ni kwanini mapadri hawaitumii biblia kama mwongozo wa ibada.?? ,, ni kwa sababu wanaogopa kuna watu watahoji vip kuhusu fungu hilo mbona hivo...yan ndo mana wanawPa mafundisho tofaut na biblia..
Ukitaka kuamini kwanin mafundisho yote ya kanisa katorik hayagusi vitabii vya unabii ...??
Just think twice and try to review you brain ability to monopolize false ideas and come here while improved..