Mjue the world president under freemasonry and illuminati to supress the third eye of human being

Mjue the world president under freemasonry and illuminati to supress the third eye of human being

Hizo stori za aina hiyo ukiingia google utazikuta nyingi sana. Ukweli kidogo chumvi nyingii.

Wewe unaamini benki zote Duniani zipo chini ya ya Jesuit? Unaamini hizo Freemason na Jesuit wana nguvu hizo za "Kimungu" mnazowapa?

Mnachosahau ni kuwa Wenzetu wamejenga Taasisi zao kama Jesuit kwa mamia ya miaka, kwa akili na bidii sana, ninyi mkiziona leo mnafikiri ni muujiza wa shetani.

Kwa mfano Catholic imepitia vipindi vingi vigumu kama kumeguka wengine na kuanzisha Ulutheri na Uanglikana. Kama Jesuit wangekuwa na uwezo wa Kimungu mnaowapa pengine wangezuia hilo lisitokee.

Kwa Waafrika jambo lolote likifanyika kwa umahiri na akili nyingi lazima tuwe mashaka (ugunduzi wa kisayansi, mafanikio a makampuni makubwa, mafanikio, ya Mtu mmoja mmoja nk) , tutaita uchawi ingawa siku hizi tunaita freemason nk

Akili ya mwafrika ikifika mwisho lazima ataitaja Freemason.
 
ha ha...
kama ndo hivyo basi huyo mungu hana chake..!!

kama roma ndo wanafanya hayo yote basi hata biblia nazani ni mpango wao,ila sasa wanataka kututoa stage fulani kwenda stage nyengine.
Vipi sasa kwa mungu anaehubiriwa kila siku na hili analifumbia macho..?
Ama anapenda kuona matukio haya wakati anauwezo wa kusaidia..?

Mungu amemuacha shetani apepete watu wake ili yeye akusanye watakatifu wake,pia biblia ipo chini ya ulinzi wa mungu hivyo hakuna awezae kuipoteza ili Kila mtu aijue kweli na achague amfuate mungu au shetani ili itakapofika hukumu iwe ni ya haki!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sometimes bora kutojua kuliko kujua
 
Kuna kundi lina crush sana alaf nashindwa kuelewa auuuu
Ndo jiwe gizani?
Ila @ the end of the days ukweli utakuwa wazi!
 
Mungu amemuacha shetani apepete watu wake ili yeye akusanye watakatifu wake,pia biblia ipo chini ya ulinzi wa mungu hivyo hakuna awezae kuipoteza ili Kila mtu aijue kweli na achague amfuate mungu au shetani ili itakapofika hukumu iwe ni ya haki!

Hili swali nimeliuliza ila sipewi majibu mujarab...

Hivi biblia unayoizungumzia ni ipi. ?? Au ni hii Biblia ambayo ni mali na ubunifu wa Kanisa Katoliki...??

Hawa wakatoliki ni ma-genius....Yani unatumia material yao kuwakosoa.. Ndio maana wapo kimya wameamua kuwadharau
 
Kuna kundi lina crush sana alaf nashindwa kuelewa auuuu
Ndo jiwe gizani?
Ila @ the end of the days ukweli utakuwa wazi!
Ukweli upi huo..?? Hebu uweke hapa...

Kumbuka usituletee porojo za google kama mwenzako....Nasubiri huo ukweli
 
Mungu amemuacha shetani apepete watu wake ili yeye akusanye watakatifu wake,pia biblia ipo chini ya ulinzi wa mungu hivyo hakuna awezae kuipoteza ili Kila mtu aijue kweli na achague amfuate mungu au shetani ili itakapofika hukumu iwe ni ya haki!

Kwa upuuzi ulioandika basi ni wazi kuwa Mungu hana Upendo = Mungu si Pendo
 
Halafu ukimhoji zaidi anakuambia soma biblia iko wazi....Cha ajabu hata hiyo Biblia ni mali na ubunifu wa Kanisa

Hao wanaoandika haya mambo ni protestant ( wapinga ukatoliki au Against Catholism) wengi wao baadhi vya vitabu wameviondoa ndio maana biblia zao haziana vitabu vitano ambapo kwn biblia ya wakatoliki vipo, na wamejiongezea mambo yao km kuwa na wachungaji wanawake, kuruhusu watumishi wao kuoa, kusali kwa kupiga makele, kumpinga mama Bikira Maria mama mzazi wa Yesu kristo
 
Yesu wakati anapaa kuelekea mbinguni alimuambia Musa ulijenge kanisa langu juu ya mwamba, sio makanisa km hawa wa Anglican sababu ya michepuko tu ndio ikawa asili ya kuanzishwa kanisa lao pale King Henry VIII alipokataliwa na papa kuoa mke wapili ambapo ilikuwa ni kinyume na sheria taratibu za kanisa katoliki. Mambo ya illuminat au Freemasons yalianza mwaka 1777wakati huo ukatoliki ulikuwa umeshaota mizizi kwa karne nyingi. Hizo porojo haziwezi kumkatisha tamaa mtu mwenye imani thabiti kwani Yesu anasema 'I am the way, the Truth and the life, no one come to the father except trough me' John 14:6
 
Wew ndo panya..make hujui dunia inavokwenda..kwa taarifa yako mim ni mkatoriki tena haswaaaah....niulize nikupe ukweli wa mambo yaliyomo ndio utajua vizur..usidhan kila mtoa maada ni msabato...watu wanatoa vitu kulingana na imani zao na jinsi walivoyajua mambo mazito yaliyomo..

Mbimguni hutaenda kwa ajili ya dini ila iman uliyonayo juu ya mambo aliyokuamuru mungu ufanye n ufuate dhidi ya ysle uliyokemewa kutoyatii na kuyafuata..
Tatizo bado mna imani potofu juu ya kwenda mbinguni na dini zenu..

Dini is nothind at all if you know what your faith believe...
Be carefull zijue nyakat na sio kwenda kwenda tu..
Utakuja kujua ukweli wa haya mambo too laite ila wenyew kujua kutumia upeo wa jicho lao la tatu tayar wanaona mbali na wanamwomba mungu awaepushe na kikombe cha adhabu ya badae we umekalia kusali na ibilisi ubavuni..

Au unahuruma sana na kanisa katorik kisa linakulea kwa misingi ya kinafiki we unaona linatenda haki et eeee...
Lait ungejua lipo kiuchumi tu na sio kiimani kama unavojua wew...
Ni ngumu kuamini kwa ndezi kama nyie mpaka mpgwe chapa ya mnyama laivu ndo utaamini..

Mkuu niambie ni dhehebu gani linalotakiwa tujiunge ili tuuone ufalme wa milele? nje ya haya madhebu ya wapinga ukatoliki/ Protesant
 
Kuna Audio ninayo ya Mchungaji mmoja wa Nigeria alipata neema alikufa na kwenda mbinguni pamoja na kuzimu na kuona hali ilivyokule. (audio iko in swahili language). Kule anakutana na Bwana Yesu, Maria mama wa Yesu, Ibrahim, Malaika n.k Pia anakutana na watumishi wa Mungu aliekua anawajua duniani wengine alishiriki mazishi yao anashangaa kuwakuta kuzimu. Ukiisikiliza itakubadilisha sana na kukupa taswira kubwa zaidi kuhusu maisha baada ya kifo. Kwa yoyote ambae atapenda nimtumie kwa njia ya Whatsapp anicheki 0714883861 nitatuma.
Hahahaha kwa hiyo alirecord hiyo audio huko Mbinguni na Kuzimu then akakurushia kwa Whatsapp? embu tuacheni ujanja ujanja
 
Ndugu yangu, Kenzy mfalme wa dunia hii ni shetani na amepewa mamlaka naMUNGU aitawale ,na pia wanadamu wamepewa option ya nani wakumtumikia kati ya MUNGU ama shetani. Mungu hajashindwa kuvuruga mipango ya shetani ya kuitawala dunia japo amewapa wanadamu wanao mwamini Mungu mamlaka ya kumshinda shetani na vishawishi vyake.

Sent from my iPad using JamiiForums
Jamaaaaa..una akili snaa...mungu mwenyew anatambua kuwa shetan ndio mtawala wa hii dunia hata pale mungu akasema...he is the prince of thy world..ndio mana hata pale yesu akafunga jangwani zike siku 40 shetan alimjia akamwambia kama ukinisujudu hakika nitakupa mali na thawabu kubwa za hapa duniani...yan pale inadhihilisha kabsa kuwa hata yesu mwenyew alilitambua hilo..

Halafu leo hii mtu hujui kinachoendelea unasema mambo ya kizushi cjui wanakopy google..daaaaah..pole sana ndg..nataman kukutafta nikupe hata mengine mazito juu ya utawala huu wa pembe ndogo (rumi) juu ya dunia hii..

Kwa mfano unaweza ukanipa mana halis tukachambua unabiii wa kitabu cha ufunuo kinachozungumza mambo hayo ..??
Kama upo tayr niambie tuanzishe thred hapo chini tueleweshane juu ya unabii unaozungumzwa na maana yake....
"
""Na tazama nikamwona mnyama akitoka katika bahari..
""Na tazama nikamwona mnyama mwingine akitoka katika bahari..
Hivi unaelewa juu ya hayo maneno hayo na umaana wake au unaendeleza kubisha kisa umeonekana huna point kazibkubisha tu..bila shaka wew utakuwa katekista wa kanisa katoriki au utakuwa frateli...daaaah...
Tatizo biblia hiyo hiyo hamuisom mkapewa au kujua ujumbe mzito uliomo ndani kazi kwenda kanisani na misale ya waaumini et mwongozo wa ibada badala ya kubeba biblia ..

Unajua ni kwanini mapadri hawaitumii biblia kama mwongozo wa ibada.?? ,, ni kwa sababu wanaogopa kuna watu watahoji vip kuhusu fungu hilo mbona hivo...yan ndo mana wanawPa mafundisho tofaut na biblia..
Ukitaka kuamini kwanin mafundisho yote ya kanisa katorik hayagusi vitabii vya unabii ...??
Just think twice and try to review you brain ability to monopolize false ideas and come here while improved..
 
Kwa upuuzi ulioandika basi ni wazi kuwa Mungu hana Upendo = Mungu si Pendo
Pruv kwamba wew huna uelewa wowote juu ya maandiko ya unabiii..
...unaelew vizzur biblia unayoiamini au huielew kazi kwenda kanisani kutoa sadaka au kupiga sadaks za hao mnaiwazingua na kuwadanganya..??

Tatizo binafsi hujui chochote kuhusu mambo aliyotabiliwa..hilo ulitambue..pili hujui unabii uliotabiliwa katika biblia kazi kubisha tu...yan mpaka unatia povu mdomon...
"" Na tazama nikamwona mnyama akitoka baharini..
""Na tazama nikamwona mnyama mwingine akitoka ncholi kavu ....
Hiv kijana kama kwli wew unaisoma biblia na kuielewa nipe tofaut ya maana ya hizo verse 2 hapo juu..
Ukiwezz bas tuendeleze thred...[emoji4] [emoji4] [emoji115] [emoji115]
 
Mnyama akitoka baharini na mnyama akitoka nchi kavu...[emoji115]
Nipe utofauti hapo kama kweli una uchungu na kanisa katorik..hapa hatuundi bifu wala nini bali tunazungumza ukweli wa mambo...
 
Eti black pope and white pope hivi sigara shisha au bangi unatumia acha kujitungia story zako za kisababto
 
Hizo stori za aina hiyo ukiingia google utazikuta nyingi sana. Ukweli kidogo chumvi nyingii.

Wewe unaamini benki zote Duniani zipo chini ya ya Jesuit? Unaamini hizo Freemason na Jesuit wana nguvu hizo za "Kimungu" mnazowapa?

Mnachosahau ni kuwa Wenzetu wamejenga Taasisi zao kama Jesuit kwa mamia ya miaka, kwa akili na bidii sana, ninyi mkiziona leo mnafikiri ni muujiza wa shetani.

Kwa mfano Catholic imepitia vipindi vingi vigumu kama kumeguka wengine na kuanzisha Ulutheri na Uanglikana. Kama Jesuit wangekuwa na uwezo wa Kimungu mnaowapa pengine wangezuia hilo lisitokee.

Kwa Waafrika jambo lolote likifanyika kwa umahiri na akili nyingi lazima tuwe mashaka (ugunduzi wa kisayansi, mafanikio a makampuni makubwa, mafanikio, ya Mtu mmoja mmoja nk) , tutaita uchawi ingawa siku hizi tunaita freemason nk
Hii naita msumali wa moto sisi waafrika sijui bongo zetu zinafanya kazi gani mtu anakuja na story za uongo eti wote wapo chini ya black pope mbona Hao Hao kila siku kupigana... waafrika bora warudi kipindi cha dini haijaingia maana tulikua tunaakili kidogo kuliko sasa hv kitu kidogo freemasonry watu waumize bongo
 
Back
Top Bottom