Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,784
Ni watu wenye akili tope kama zako... U can't think of your own... Kuna watu wako mahali wanawaza kwa niaba yako...Hivi 'waroma' ni watu gani..??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni watu wenye akili tope kama zako... U can't think of your own... Kuna watu wako mahali wanawaza kwa niaba yako...Hivi 'waroma' ni watu gani..??
Hoja hujibiwa kwa hoja ndugu... Hapo sijaona hoja zaidi ya viroja na uzushi uliojaa copy n paste za google ...Kama zilivyo za kwako...
Kama alichoandika ni upuuzi weka hoja za kupinga na sio kutoa povu kwa kila post unayoona...
Sasa nyie wenye uwezo wa kufikri mbona mnatuletea takataka za google hapa..?? Wewe nini haswa ukichoweza kufikiri kwa akili yako kama si copy and paste..Ni watu wenye akili tope kama zako... U can't think of your own... Kuna watu wako mahali wanawaza kwa niaba yako...
Wala hatoweza kupata jibu kamwe maana mavitabu yenyewe hayo yanajichanganya sana
Bora hata mimi ninayo ya copy and paste... Yako hata kulenga tundu la choo ni tatizo...Sasa nyie wenye uwezo wa kufikri mbona mnatuletea takataka za google hapa..?? Wewe nini haswa ukichoweza kufikiri kwa akili yako kama si copy and paste..
Why don't u send here???Kuna Audio ninayo ya Mchungaji mmoja wa Nigeria alipata neema alikufa na kwenda mbinguni pamoja na kuzimu na kuona hali ilivyokule. (audio iko in swahili language). Kule anakutana na Bwana Yesu, Maria mama wa Yesu, Ibrahim, Malaika n.k Pia anakutana na watumishi wa Mungu aliekua anawajua duniani wengine alishiriki mazishi yao anashangaa kuwakuta kuzimu. Ukiisikiliza itakubadilisha sana na kukupa taswira kubwa zaidi kuhusu maisha baada ya kifo. Kwa yoyote ambae atapenda nimtumie kwa njia ya Whatsapp anicheki 0714883861 nitatuma.
Nimeamua kupuuza...Bora hata mimi ninayo ya copy and paste... Yako hata kulenga tundu la choo ni tatizo...
Kuwa mkweli.... say after me.. nime surrender..Nimeamua kupuuza...
Maovu yapo tangu mwanzo wa ulimwenguprophat muhhamad(saw) ktk koran ameambiwa mara nyingi wewe ni mwonyaji tu kazi yako ni kufukisha ujumbe tu kwa wanadamu lkn hawezi kuongoa mtu ana haki ya kuchagua njia mara baada ya kupata elimu ya vitabu yan koran,torati,zaburi,na injili ipi ni sahihi na ipi si sahihi.kinacho nishangaza kuona walipewa kitabu yaani wahayudi na wakiristu wanasema yesu/nabii issa a.s amekuja kuokoa dunia sasa najiuliza ameokoa nini wakati ndo kwanza maa'si yameongezeka na uvunjifu wa duniani umeongezeka zaidi?je huyo yesu alikufa wakati kazi ya kuokoa ulimwengu ilimshinda.kama yesu yeye ndio kaanzisha ukiristu na kawachia viongozi wake mbona hao ndio wanaosimamia ushetani.jamani dini ya haki ni uislam tu nyingine ni porojo za wanadamu
Kwa lipi hasa..??Kuwa mkweli.... say after me.. nime surrender..
Huwezi kulijua, madamu hata ya kulenga chooni hunayo...Kwa lipi hasa..??
Ivi nipe maana ya neno DINI zen nipe maana ya uislam..nitakujulisha mengne
Wachache watakuelewa..nini unamaanisha...ila its my prayer watu wakuelewe unamaanisha nini mkuu_coz una hoja nzito sana.
Subiri nakuja huko Yaeda chini...ntakusimuliaNieleweshe.......halafu unisamaraizie.......hasa hapo black pope Adolfo Nicolas.........
Hivi unajua aliyemteremshia hiyo koran yenyewe huyo mtume?prophat muhhamad(saw) ktk koran ameambiwa mara nyingi wewe ni mwonyaji tu kazi yako ni kufukisha ujumbe tu kwa wanadamu lkn hawezi kuongoa mtu ana haki ya kuchagua njia mara baada ya kupata elimu ya vitabu yan koran,torati,zaburi,na injili ipi ni sahihi na ipi si sahihi.kinacho nishangaza kuona walipewa kitabu yaani wahayudi na wakiristu wanasema yesu/nabii issa a.s amekuja kuokoa dunia sasa najiuliza ameokoa nini wakati ndo kwanza maa'si yameongezeka na uvunjifu wa duniani umeongezeka zaidi?je huyo yesu alikufa wakati kazi ya kuokoa ulimwengu ilimshinda.kama yesu yeye ndio kaanzisha ukiristu na kawachia viongozi wake mbona hao ndio wanaosimamia ushetani.jamani dini ya haki ni uislam tu nyingine ni porojo za wanadamu
Hahaa ... Kweli nimeamini huu msemo upo sahihi "Common sense is not so common...."Hapana jamaa ypo sahihi sana maana hta kabla ya uchaguz nilisikia hvyohvyo mm kwmba yy hawez shnda kwsabab cyo roman Catholic na ndyo sabab alinyimwa nafac ple ccm