Mjue the world president under freemasonry and illuminati to supress the third eye of human being

Kama zilivyo za kwako...
Kama alichoandika ni upuuzi weka hoja za kupinga na sio kutoa povu kwa kila post unayoona...
Hoja hujibiwa kwa hoja ndugu... Hapo sijaona hoja zaidi ya viroja na uzushi uliojaa copy n paste za google ...
 
Ni watu wenye akili tope kama zako... U can't think of your own... Kuna watu wako mahali wanawaza kwa niaba yako...
Sasa nyie wenye uwezo wa kufikri mbona mnatuletea takataka za google hapa..?? Wewe nini haswa ukichoweza kufikiri kwa akili yako kama si copy and paste..
 
Sasa nyie wenye uwezo wa kufikri mbona mnatuletea takataka za google hapa..?? Wewe nini haswa ukichoweza kufikiri kwa akili yako kama si copy and paste..
Bora hata mimi ninayo ya copy and paste... Yako hata kulenga tundu la choo ni tatizo...
 
Why don't u send here???
 
Maovu yapo tangu mwanzo wa ulimwengu
 
dini ni mfumo wa maisha wa mwanadamu.lakin dini ya uislamu ni mfumo wa maisha wa kuabudu mungu mmoja kuamini malaika mitume vitabu na siku ya mwisho(kiyama)islam means enye kunyenyeke kwa allah s.a
 
Wachache watakuelewa..nini unamaanisha...ila its my prayer watu wakuelewe unamaanisha nini mkuu_coz una hoja nzito sana.

Nieleweshe.......halafu unisamaraizie.......hasa hapo black pope Adolfo Nicolas.........
 
Mweee me nishachokaga na haya mambo.... Hivi inawezekanaje siri itangazwe kiasi hiki... issues za freemasons miaka 20 iliyopita ndo zlianza kusambaa taratibu na mpaka sasa imeenea kote... hawa jamaa wanaweza wakawa wameruhusu kwa makysud kujua hiv vitu na dhumun lao your subconcious mind ipokee taarifa hizo ili wakianza ku implement mambo yao watu waone kawaida...
"Freemasons inside out" stories zote zimepikwa...
Aliyekutangulia amekutangulia tuu....
 
Thread nzuri iliyokaa kimlengo wa kidini sio kutoa maarifa kwa umma
 
Hivi unajua aliyemteremshia hiyo koran yenyewe huyo mtume?
 
Kama mambo ndo haya basi hakuna haja ya kuamshana eti twende kanisani naamini imani yako ndo ngao ya yote haya Mungu aingilie kati
 
Hapana jamaa ypo sahihi sana maana hta kabla ya uchaguz nilisikia hvyohvyo mm kwmba yy hawez shnda kwsabab cyo roman Catholic na ndyo sabab alinyimwa nafac ple ccm
Hahaa ... Kweli nimeamini huu msemo upo sahihi "Common sense is not so common...."
Kwa hivyo unataka kutuaminisha kwamba marais waislam waliopita (Mwinyi na Kikwete) walikuwa wakatoliki ndio maana walipita kwa kusaidiwa na hao Jesuit Fathers? au Tuseme kwa lugha nyepesi walikuwa wateule wa Kanisa Katoliki chini ya huyo Black Pope? Tanzania tunahitaji Elimu kwanza kabla ya yote vinginevyo hatutapata maendeleo hata rais wetu atoke Kanisa la Kiprotestant au katoliki au mpagani au Islam. Sio kila kitu lazima uchangie vingine unanyamaza kuficha udhaifu wako wa kufikiri. Stop believing in nonsense, more less a conspiracy theory.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…