Mjue the world president under freemasonry and illuminati to supress the third eye of human being


Akili ya mwafrika ikifika mwisho lazima ataitaja Freemason.
 

Mungu amemuacha shetani apepete watu wake ili yeye akusanye watakatifu wake,pia biblia ipo chini ya ulinzi wa mungu hivyo hakuna awezae kuipoteza ili Kila mtu aijue kweli na achague amfuate mungu au shetani ili itakapofika hukumu iwe ni ya haki!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Sometimes bora kutojua kuliko kujua
 
Kuna kundi lina crush sana alaf nashindwa kuelewa auuuu
Ndo jiwe gizani?
Ila @ the end of the days ukweli utakuwa wazi!
 
Mungu amemuacha shetani apepete watu wake ili yeye akusanye watakatifu wake,pia biblia ipo chini ya ulinzi wa mungu hivyo hakuna awezae kuipoteza ili Kila mtu aijue kweli na achague amfuate mungu au shetani ili itakapofika hukumu iwe ni ya haki!

Hili swali nimeliuliza ila sipewi majibu mujarab...

Hivi biblia unayoizungumzia ni ipi. ?? Au ni hii Biblia ambayo ni mali na ubunifu wa Kanisa Katoliki...??

Hawa wakatoliki ni ma-genius....Yani unatumia material yao kuwakosoa.. Ndio maana wapo kimya wameamua kuwadharau
 
Kuna kundi lina crush sana alaf nashindwa kuelewa auuuu
Ndo jiwe gizani?
Ila @ the end of the days ukweli utakuwa wazi!
Ukweli upi huo..?? Hebu uweke hapa...

Kumbuka usituletee porojo za google kama mwenzako....Nasubiri huo ukweli
 
Mungu amemuacha shetani apepete watu wake ili yeye akusanye watakatifu wake,pia biblia ipo chini ya ulinzi wa mungu hivyo hakuna awezae kuipoteza ili Kila mtu aijue kweli na achague amfuate mungu au shetani ili itakapofika hukumu iwe ni ya haki!

Kwa upuuzi ulioandika basi ni wazi kuwa Mungu hana Upendo = Mungu si Pendo
 
Halafu ukimhoji zaidi anakuambia soma biblia iko wazi....Cha ajabu hata hiyo Biblia ni mali na ubunifu wa Kanisa

Hao wanaoandika haya mambo ni protestant ( wapinga ukatoliki au Against Catholism) wengi wao baadhi vya vitabu wameviondoa ndio maana biblia zao haziana vitabu vitano ambapo kwn biblia ya wakatoliki vipo, na wamejiongezea mambo yao km kuwa na wachungaji wanawake, kuruhusu watumishi wao kuoa, kusali kwa kupiga makele, kumpinga mama Bikira Maria mama mzazi wa Yesu kristo
 
Yesu wakati anapaa kuelekea mbinguni alimuambia Musa ulijenge kanisa langu juu ya mwamba, sio makanisa km hawa wa Anglican sababu ya michepuko tu ndio ikawa asili ya kuanzishwa kanisa lao pale King Henry VIII alipokataliwa na papa kuoa mke wapili ambapo ilikuwa ni kinyume na sheria taratibu za kanisa katoliki. Mambo ya illuminat au Freemasons yalianza mwaka 1777wakati huo ukatoliki ulikuwa umeshaota mizizi kwa karne nyingi. Hizo porojo haziwezi kumkatisha tamaa mtu mwenye imani thabiti kwani Yesu anasema 'I am the way, the Truth and the life, no one come to the father except trough me' John 14:6
 

Mkuu niambie ni dhehebu gani linalotakiwa tujiunge ili tuuone ufalme wa milele? nje ya haya madhebu ya wapinga ukatoliki/ Protesant
 
Hahahaha kwa hiyo alirecord hiyo audio huko Mbinguni na Kuzimu then akakurushia kwa Whatsapp? embu tuacheni ujanja ujanja
 
Jamaaaaa..una akili snaa...mungu mwenyew anatambua kuwa shetan ndio mtawala wa hii dunia hata pale mungu akasema...he is the prince of thy world..ndio mana hata pale yesu akafunga jangwani zike siku 40 shetan alimjia akamwambia kama ukinisujudu hakika nitakupa mali na thawabu kubwa za hapa duniani...yan pale inadhihilisha kabsa kuwa hata yesu mwenyew alilitambua hilo..

Halafu leo hii mtu hujui kinachoendelea unasema mambo ya kizushi cjui wanakopy google..daaaaah..pole sana ndg..nataman kukutafta nikupe hata mengine mazito juu ya utawala huu wa pembe ndogo (rumi) juu ya dunia hii..

Kwa mfano unaweza ukanipa mana halis tukachambua unabiii wa kitabu cha ufunuo kinachozungumza mambo hayo ..??
Kama upo tayr niambie tuanzishe thred hapo chini tueleweshane juu ya unabii unaozungumzwa na maana yake....
"
""Na tazama nikamwona mnyama akitoka katika bahari..
""Na tazama nikamwona mnyama mwingine akitoka katika bahari..
Hivi unaelewa juu ya hayo maneno hayo na umaana wake au unaendeleza kubisha kisa umeonekana huna point kazibkubisha tu..bila shaka wew utakuwa katekista wa kanisa katoriki au utakuwa frateli...daaaah...
Tatizo biblia hiyo hiyo hamuisom mkapewa au kujua ujumbe mzito uliomo ndani kazi kwenda kanisani na misale ya waaumini et mwongozo wa ibada badala ya kubeba biblia ..

Unajua ni kwanini mapadri hawaitumii biblia kama mwongozo wa ibada.?? ,, ni kwa sababu wanaogopa kuna watu watahoji vip kuhusu fungu hilo mbona hivo...yan ndo mana wanawPa mafundisho tofaut na biblia..
Ukitaka kuamini kwanin mafundisho yote ya kanisa katorik hayagusi vitabii vya unabii ...??
Just think twice and try to review you brain ability to monopolize false ideas and come here while improved..
 
Kwa upuuzi ulioandika basi ni wazi kuwa Mungu hana Upendo = Mungu si Pendo
Pruv kwamba wew huna uelewa wowote juu ya maandiko ya unabiii..
...unaelew vizzur biblia unayoiamini au huielew kazi kwenda kanisani kutoa sadaka au kupiga sadaks za hao mnaiwazingua na kuwadanganya..??

Tatizo binafsi hujui chochote kuhusu mambo aliyotabiliwa..hilo ulitambue..pili hujui unabii uliotabiliwa katika biblia kazi kubisha tu...yan mpaka unatia povu mdomon...
"" Na tazama nikamwona mnyama akitoka baharini..
""Na tazama nikamwona mnyama mwingine akitoka ncholi kavu ....
Hiv kijana kama kwli wew unaisoma biblia na kuielewa nipe tofaut ya maana ya hizo verse 2 hapo juu..
Ukiwezz bas tuendeleze thred...[emoji4] [emoji4] [emoji115] [emoji115]
 
Mnyama akitoka baharini na mnyama akitoka nchi kavu...[emoji115]
Nipe utofauti hapo kama kweli una uchungu na kanisa katorik..hapa hatuundi bifu wala nini bali tunazungumza ukweli wa mambo...
 
Eti black pope and white pope hivi sigara shisha au bangi unatumia acha kujitungia story zako za kisababto
 
Hii naita msumali wa moto sisi waafrika sijui bongo zetu zinafanya kazi gani mtu anakuja na story za uongo eti wote wapo chini ya black pope mbona Hao Hao kila siku kupigana... waafrika bora warudi kipindi cha dini haijaingia maana tulikua tunaakili kidogo kuliko sasa hv kitu kidogo freemasonry watu waumize bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…