anadota
JF-Expert Member
- Jun 18, 2016
- 382
- 124
prophat muhhamad(saw) ktk koran ameambiwa mara nyingi wewe ni mwonyaji tu kazi yako ni kufukisha ujumbe tu kwa wanadamu lkn hawezi kuongoa mtu ana haki ya kuchagua njia mara baada ya kupata elimu ya vitabu yan koran,torati,zaburi,na injili ipi ni sahihi na ipi si sahihi.kinacho nishangaza kuona walipewa kitabu yaani wahayudi na wakiristu wanasema yesu/nabii issa a.s amekuja kuokoa dunia sasa najiuliza ameokoa nini wakati ndo kwanza maa'si yameongezeka na uvunjifu wa duniani umeongezeka zaidi?je huyo yesu alikufa wakati kazi ya kuokoa ulimwengu ilimshinda.kama yesu yeye ndio kaanzisha ukiristu na kawachia viongozi wake mbona hao ndio wanaosimamia ushetani.jamani dini ya haki ni uislam tu nyingine ni porojo za wanadamu